Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Hapana... wengi wa wastaafu tunaona kama hawajafungua kampuni za ukorokoroni basi wenyewe wanakuwa makorokoroni la si hivyo huwa tunapishana nao wakijisemesha wenyewe njiani "sijamaanisha wote..."Dua la kuku hilo
Mtateseka lakini mungu hajawa upande wenu
Mzee Muroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy...
Sabaya yupo wapi??
Shida ni pale mnapodhani kila tatizo ni la kila mtu.PSSSF watamsumbua pensheni huyu mzee hadi aombe poo. Atamaliza soli za viatu kufatilia pensheni zake. Hii ndio bongoland!
Huyo hawezi kuchukua muda mrefu atakufa maana ni mpuzi snMzee Muroto nakukumbusha muda wa kutoa amri umekwisha rasmi umeingia kupokea amri. Umestaafu ukiwa umejikita zaidi kutetea chama kuliko Jeshi, nikuombe uwasiliane na chama kione wataweka utaratibu gani wakukuwezesha kuwahi kuamka kwenda sehemu kujikeep busy...
MUNGU yupi sasa 🤣🤣 maan kuna miungu mingi tu. MUNGU alie hai hupenda hakiDua la kuku hilo.
Mtateseka lakini mungu hajawa upande wenu
Atapata kipigo cha mbwa mwizi huku mtaani sasa ndio muda akamuulize kova mtaa upo vipi?
Atakufa mapema maana ashazoea kutoa orders sasa hivi watu watakuwa wanamuangalia tu he is just a jobless and another nothing but a junkie kwa sasa. Atafurahi.
Bila sababu za msingi????Watu wakati mwingine binadamu tuwe tunajaribu kukumbuka kwamba vyeo ni dhamana tu.... mambo ya matamko ya kutaka watu wapigwe 'kipigo cha mbwa koko' bila sababu ya msingi si vyema hata kidogo. Kazi iendelee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mida si mrefu utasikia amekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui itakuwaje huko mtaani atakapokutana na wale aliokuwa akiwapiga "Kipigo cha mbwa koko🙂".....mpaka "Wakapata taabu sana"🙂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PSSSF watamsumbua pensheni huyu mzee hadi aombe poo. Atamaliza soli za viatu kufatilia pensheni zake. Hii ndio bongoland!