Kamanda Gilles Muroto Astaafu, karibu uraiani upambane

1. Kila kitu kina mwanzo na mwisho.
2. Kila jambo na wakati wake
3. Hakuna marefu yasiyo na mwisho
4. Kila mwajiriwa ipo siku atastaafu
n.k.
 
Ndio aingie mtaani aipate joto ya jiwe vizuri, maana baadhi ya watu wakipata vyeo wanasahau kwamba wapo hapo kwa muda tu, Wakiingia mtaani wanakutana na matunda ya mbegu walizopanda wakati wakiwa katika vitengo. Hapo kila mmoja anavuna ya kwake na umri umeenda.
 
Huyu asiombe nikutane naye nitamzabua makelebu ya kufa mtuu
 
Anakutana na makamanda uraiani...

Alijipendekeza kwa mwendazake sana ikifizia teuzi
 
Dua la kuku hilo.

Mtateseka lakini mungu hajawa upande wenu
Unamkumbuka Shana (Mshana) huyu mara ya mwisho alikuwa nadhani RPC Arusha nitasahihishwa kama nimekosea hilo jina alivyojifia mkiwa pale Mwaisela wards MNH?

Usifanye masihara maisha yanabadilika we endelea kuishi kwa mazoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…