Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

Mtu apigwe risasi mchana kweupe kishamba Namna hiyo aje kijinga tu! Tz ilikuwa km nchi moja hapo jirani na Uhuru Kenyata!
 
Mayalla yeye tujiulize yeye kayajuaje Mambo ya Chadema wakati sio mwana Chadema kumbuka anayoyajua ndani ya Chadema hua ni Yale mabaya tuu hajawahi ona mazuri hata siku Moja
Mkuu MAPITO Mwanza , vipi hili sii jema?.
P
 
Dear School mate Tundu Lissu, najua umepitia makubwa. Welcome back home. Nakuomba sana upunguze kidogo kuliishi jina lako, usimsumbue huyu Mama kama ulivyomsumbuaga yule Madam, Mwenyekiti wako Mbowe tayari ameisha onyesha uungwana na ustaarabu mkubwa, wa hali ya juu@, please do the same!, tufanye siasa za kiungwana na kistaarabu. Kubebwa bebeka, ukipedwa pendeka, ukishikwa shikamana, ukiaminiwa jiaminishe!.
Yaliyopita si ndwele, samehe, tugange yajayo tusonge mbele!.
Welcome back home.
Your school mate
Pasco
 
Ulinzi huu ndio ulinzi wa uhakika,Lissu atalindwa na YEYE。
P
 
Tuungane kumu wish Tundu Lissu all the best kesho.
YEYE atatenda!
Sema Amen!.

Ushindi wa Tundu Lissu kesho ni muhimu ili October, YEYE aonyeshe uwezo wake kwa kulifanya lile jiwe lililokataliwa na waashi, YEYE atalifanya kuwa jiwe kuu la pembeni!.

P
 
Demokrasia kwenye nchi za Afrika ni Scam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…