Kwasababu ilikuwa ghafla, Walianza na supu + mikate. Mchana pilau nyama, usiku ndizi za kukaanga na nyama. Mida ya jioni wakati wakipitia Bar kuyeyusha mafuta ya nyama tumboni kwa K Vant, wakwe walio Dar nao walipelekewa nyama.Wake za maafande watakua walikula na kusaza siku hiyo, mambo yalikua "harooo waifu bandika ugari mboga nareta"
Hii ni aibu kubwa sana ! Mambosasa anafunika wizi wa nyama !Polisi waache chai bana hizo nyama wamegawana, wazichome na kufukia wapi yaani wananchi walalamikie kilo 130?
Nusu saa uwe umeripoti hapa senterooWake za maafande watakua walikula na kusaza siku hiyo, mambo yalikua "harooo waifu bandika ugari mboga nareta"
Mambosasa aunganishwe kwenye kesiKwa hiyo uchunguzi waliofanya walienda kuzifukua wakazipima wakakuta ni 130kg?
UmeaNDika makusud au upo serious mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Tumezowea hawa kulindana. Hata traffuc tuna waona wabavyo lindana kupokea rudhwsma. Ila yana nwidho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3064][emoji3064][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]wacha nifurahi tu.
Bwashee usisahau kupost vichekesho vingine kama hivi
Ha ha ha inawezekana kuna mgao kaupataMambosasa aunganishwe kwenye kesi