kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,651
- 6,966
Kwasababu ilikuwa ghafla, Walianza na supu + mikate. Mchana pilau nyama, usiku ndizi za kukaanga na nyama. Mida ya jioni wakati wakipitia Bar kuyeyusha mafuta ya nyama tumboni kwa K Vant, wakwe walio Dar nao walipelekewa nyama.Wake za maafande watakua walikula na kusaza siku hiyo, mambo yalikua "harooo waifu bandika ugari mboga nareta"