The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Nguvu ya soko inaathiriwa na matendo ya watu.Good qn,
Ukiona hiyo,ujue hili jambo teyari ni gumu sasa wanaanza kuhadaa umma.Polisi na cement wapi na wapi?
Kwani unajuaje kama hajakabidhiwa jukumu tayari?Huyu polisi ni nani kwani mpaka anaingia na kwenye mambo ya biashara kana kwamba ni waziri wa mambo hayo?
Makubwa. Siku hizi polisi ndiyo inajua demand and supply ya simenti ikoje?Movie kama zile za sukari zimenza
Kwa Bongo ya sasa usishangae polisi akazungumzia takwimu za watumiaji wa kondom[emoji205]Makubwa. Siku hizi polisi ndiyo inajua demand and supply ya simenti ikoje?
Jukumu la nini? Kwenye biashara siku zote kinacho affect bei ni demand and supply! Hii ni basic principle kwa watu ambao hata hawajaenda shule. Kamwe kinacho affect bei hakiwezi kuwa supply and police force! Huku tulishapitia tangu enzi za Mwalimu Nyerere na tunajua kuwa polisi hawawezi ku affect bei za bidhaa!Kwani unajuaje kama hajakabidhiwa jukumu tayari?
Ni Market Forces ndo maana na sisi tumeamua kutumia Police Force.Kilichopandosha bei ni Market forces au mtu?
Polisi na masuala ya cement wapi na wapi??[emoji2955][emoji2955][emoji2955]Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Lazaro Mambosasa amewataka wafanyabiashara kuuza cement kwa bei iliyowekwa na serikali vingiinevyo watashughulikiwa kisheria.
Mambosasa amesema jiji la Dar es Salaam lina cement ya kutosha hivyo yoyote anayeongeza bei ni muhujumu uchumi.
Chanzo: Channel ten
Maendeleo hayana vyama!