Asante sana kamanda kwa ufafanuzi, wakitoka hopstal wafungwe kabisa
Hawa jamaa wa CHADEMA no sensible person would sympathize with them. They've been pulling up the Victims Card for too long.
Unayaamini maneno yao au hasira za kuwakosa magerezani Kwa faini kubwa mkiamini hawatoweza had mkafungia account zaoEndeleeni kutegemea mtafanya fujo ili mchangiwe pesa kutunisha mfuko wa mwenyekiti,sasahivi hakuna faini ni kifungo tu,mkuu kuvamia gereza sio kesi ndogo.
macson
Taratibu za malipo zilishafanywa figisu zilikuwa alale atolewe jtatu,mngemtoa mapema yasingetokea mnalazimisha vurugu ili mpate Pesa Mbona?Pale hawatafuti kiki mkuu hawawezi kuanza kurekodi,pale wanakua wanatekeleza majukumu yao ya kazi,hasa kuzuia wafungwa wasitoroshwe na wahuni wachache wanaojificha kwenye mgongo wa siasa.
macson
Labda on a very abstract level.Hata ukijaribu kupotosha ukweli haiwezekani maana wananchi ni waelewa. Ukweli uko wazi kuwa rais aliye madarakani ana nongwa na cdm, na yeye ndio kinara wa huu ukatili wanaofanyiwa wanacdm.
Labda on a very abstract level.
OkayHabari ndio hiyo boss.
Mkuu Cherenganya hawa jamaa wanafanya makusudi ili kupata huruma ya wananchi ila mbinu wanazotumia za hovyo raia tumestuka. Harafu mkuu hilo jina nahisi wewe ni wa kwetu Nyanda za juu kusini,maana kuna kijiji kinaitwa hivyo.
macson
Nawapa Pole sana waliopata ajali kwa uzembe wa madereva na pia mungu awape faraja wafiwa wote. Ila hao waliochokoza mzinga wa nyuki wenyewe hata wangekufa ni sawa tu. Wewe pale kuna watu wanamakesi magumu ya hatari halafu unapeleka siasa. Wapigwe tu maana hakuna namna nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri mabeberu wameshaona Kila kitu, hata Ile ziara ya kabudi marekani ni bora akabaki akaanda shamba lake kwa ajili ya masika, jitihada alizokua anazifanya ni sawa na bureCdm hawahitaji huruma ya mwananchi yoyote, bali wanahitaji kutendewa haki na kuheshimiwa tu. Huyo Mambosasa anatumwa kupotosha umma na kufunika ukweli, lakini ulimwengu wa sasa watu hawako usingizini tena, wanaweza kuona wenyewe bila kuletewa hadaa na taasisi za dola, ambazo katibu mkuu wa chama tawala anajigamba kuwa ndio nguzo yao.
Mungu hasikiagi maombi na desires za kishetani kama hizo hapo uloandika. Na ndio maana forever mtakuwa on the loosing side. Maneno yamtokayo mtu ndio yalomjaa, kuna watu huko uchina na italy wamerekodiwa wakisambaza corona makusudi, ni kama wewe, just pure evil men.CORONA inabidi ifike Tanzania maana serikali ya awamu ya tano imezidi baadala ya kuanza kuweka mazingira mazuri ya kupambana na CORONA wao kila siku ni kupambana na CHADEMA