Elections 2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

Kimsingi namna ambavyo CCM kwa kushirikiana na Tiss pamoja na Jeshi la Polisi imesababisha Wananchi wengi kufarakanishwa sana, kwa Sasa hakuna utengamano wa kijamii ambao upo strong miongoni mwa Watu katika nchi hii. Kuna chuki kubwa sana katika Jamii iliyotokana na Mambo ya Siasa, hususani Siasa mbaya sana za kuteka watu na kuwapoteza, kuwajeruhi na kuwaua kikatili Kama alivyouawa huyu Alphonce Mawazo.

Moto wa kulipa visasi unafukuta au unawaka vifuani mwa Watu wengi Waathirika wa Mikasa ya namna hii
 
Kimsingi namna ambavyo CCM kwa kushirikiana na Tiss pamoja na Jeshi la Polisi imesababisha Wananchi wengi kufarakanishwa sana, kwa Sasa hakuna utengamano wa kijamii ambao upo strong miongoni mwa Watu katika nchi hii
Halafu tunamsema mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…