Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,254
- 903
View attachment 136214
Huyu jamaa hajaonekana huko?
Huyo wa katikati ni Savimbi kabisa, hivi wanajeshi hawajamchukulia hatua kwa kuvaa magwanda yao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 136214
Huyu jamaa hajaonekana huko?
It's so sad that they killed you the same way! Rest in Peace Kamanda.mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga
Hakuna mtu nikimkumbuka najawa na roho ya kulipa kisasi kama huyu....RIP Alphonce"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.
Niko na makamanda central na tayari kapewa PF3. Mi nimebaki ili kufungua jalada lakini OCD anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.
Kinachoniuma ni ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jalada kwanza, kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la CCM huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO na wao kukaa kimya.
Tumekabidhi mapanga, nyundo, nondo name silaha nyingine tulizoshambuliwa nazo
Bado unaamini katika maandishi yako haya....!!!?Kifo cha CCM ki karibu mno.Vumilieni Makamanda
Hivi mwenzio akiteleza ghorofani utafanya jambo gani kwanza...!??Hizo ni story za kutafuta umaarufu Huyo mawazo wamtake wanini? wekeni picha vinginevyo ni ulaghai tu
Ccm oyeekijana acha ujuha!
So sad, hivi CCM ni binadamu au wanyama?"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.
Niko na makamanda central na tayari kapewa PF3. Mi nimebaki ili kufungua jalada lakini OCD anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.
Kinachoniuma ni ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jalada kwanza, kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la CCM huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO na wao kukaa kimya.
Tumekabidhi mapanga, nyundo, nondo name silaha nyingine tulizoshambuliwa nazo
Endelea kupumzika kwa Amani, Mungu aipe amani roho yako."Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.
Niko na makamanda central na tayari kapewa PF3. Mi nimebaki ili kufungua jalada lakini OCD anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.
Kinachoniuma ni ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jalada kwanza, kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la CCM huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO na wao kukaa kimya.
Tumekabidhi mapanga, nyundo, nondo name silaha nyingine tulizoshambuliwa nazo
Hakuna mtu nikimkumbuka najawa na roho ya kulipa kisasi kama huyu....RIP Alphonce
Mawazo alikuwa diwani wangu kata ya Sombetini.Endelea kupumzika kwa Amani, Mungu aipe amani roho yako.
Amen
Hapo hamna amani mtu kauwawa anapumzikaje Kwa amaniEndelea kupumzika kwa Amani, Mungu aipe amani roho yako.
Amen
Ukitaka uwe mpinzani Africa unatakiwa uwe kama m23 ila silaha Yako ikiwa mdomo hutoboiMawazo alikuwa diwani wangu kata ya Sombetini.
Bananga alikuja kuleta usaliti tu.
So sad, hivi CCM ni binadamu au wanyama?