Elections 2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

kama kampeni za udiwani ccm mnafanya fujo kiasi hiki wewe JK unajesema wenzako ni wachanga kisiasa wewe mkomavu na chama chako kwanini usiwaambie wana ccm wenzako wafanye siasa za kistarabu?shame on you kinana maana haya mambo mnayaona ila mnayafumbia macho kwa maslahi ya chama chenu ila INSHALAAH MWENYEZI MUNGU YUPO.
 
Tusikate tamaa kuuondoa ufalme si kitu rahisi hata kidogo na hizo ndizo gharama zake ccm hawawezi toka kirahisi lazima itugharimu yumkini hata damu. Tufuatilie historia za ukombozi nchi za Afrika. Haikuwa rahisi hata kidogo kuwaondoa wakoloni. Nani asiye jua leo kwamba CCM ni wakolono na makaburu weusi?

Inshallah Mungu awaponye majeruhi. Tusikate tamaa. The darker the night the nearer the dawn.
 
Upumzike kwa Amani, damu yako itawalilia watesi wako hadi mwisho wa maisha yao.
 
Hakuna mtu nikimkumbuka najawa na roho ya kulipa kisasi kama huyu....RIP Alphonce
 
Hizo ni story za kutafuta umaarufu Huyo mawazo wamtake wanini? wekeni picha vinginevyo ni ulaghai tu
Hivi mwenzio akiteleza ghorofani utafanya jambo gani kwanza...!??

A. Kumpiga picha ili upost
B...................
C..................

Jaza nafasi zilizoachwa wazi
 
So sad, hivi CCM ni binadamu au wanyama?
 
Endelea kupumzika kwa Amani, Mungu aipe amani roho yako.
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…