Kamanda Mkubwa wa Hezbollah, Haj Abdullah Muzhim ameuawa na Mayahudi. Imeniumiza sana

kinachouma zaidi, si ukute ameuawa na askari wanawake wa kiyahudi, tena wasagaji. hata zile ndege zilienda kudungua iran, wanawake walikuwa wengi sana kwenye ndege zile. lakini ndio hivyo, myahudi kawakalia kwenye pua.
 
Tunavyopingana humu ni Udini mtupu!Vita msiviombee jamanii,Hata Mungu hapendi vita ni basi binadamu vichwa ngumu .Hizo fedha zingelitumika kuwapa maskini, Hakika Vyakula visingetosha.Maana kila binadamu angetimiza Milo 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…