Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
- #21
Mimi Mwarabu wa huku Tandale kwa Mtogole naumia sana Maarabu yanapouawa....Wewe hujawahi fiwa hata na babu wa babu yako?
Hukuwahi kusema ilikuuma ila leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Mwarabu wa huku Tandale kwa Mtogole naumia sana Maarabu yanapouawa....Wewe hujawahi fiwa hata na babu wa babu yako?
Hukuwahi kusema ilikuuma ila leo?
Rip kamandaMayahudi hawajaacha kuua maarabu. Kamanda mwingine Mkubwa wa Hezbollah leo hii amewahi kwenda ku enjoy. Apewe haki yake asipunjwe hata kidogo.
View attachment 3140488
Mimi Mwarabu wa huku Tandale kwa Mtogole naumia sana Maarabu yanapouawa....
Nakazia 🔨🔨Taarifa hizo hazina faida kwa nchi yetu na watanzania .
Wewe unajuaje wote ni Watanzania? Na je zako mbadala zi wapi? Nenda majukwaa yenye taarifa zenye faida kwenu. Huku tuachie sisi wa Mataifa mengine doggie weeeeTaarifa hizo hazina faida kwa nchi yetu na watanzania .
Kila jamii mnaita waarabu. Hizbolah na Palestina sio waarabu ijapokuwa wote ni waislamu.Mayahudi hawajaacha kuua maarabu. Kamanda mwingine Mkubwa wa Hezbollah leo hii amewahi kwenda ku enjoy. Apewe haki yake asipunjwe hata kidogo.
View attachment 3140488
Uzuri huyo umemtaja hapo kitabu na dini yako vimemuandika zaidi kuliko mudi na AyatollahBikira Maria yupo,atapewa
Hata sisi wa Tandale tunaitwa hivyo mbona....Kila jamii mnaita waarabu. Hizbolah na Palestina sio waarabu ijapokuwa wote ni waislamu.
Nawe hueleweki.... inabidi utambulike mapema upo dini gani...Na Maarabu ni kharamu kuliko hata fisi......🤣🤣🤣🤣🤣
Hata sisi wa Tandale tunaitwa hivyo mbona....Kila jamii mnaita waarabu. Hizbolah na Palestina sio waarabu ijapokuwa wote ni waislamu.
Sio waarabu ni watu Gani?!!Kila jamii mnaita waarabu. Hizbolah na Palestina sio waarabu ijapokuwa wote ni waislamu.
Mayahudi hawajaacha kuua maarabu. Kamanda mwingine Mkubwa wa Hezbollah leo hii amewahi kwenda ku enjoy. Apewe haki yake asipunjwe hata kidogo.
View attachment 3140488
😄😁😜 mm nacheka sana kwa aina ya uandishi wako.Mayahudi hawajaacha kuua maarabu. Kamanda mwingine Mkubwa wa Hezbollah leo hii amewahi kwenda ku enjoy. Apewe haki yake asipunjwe hata kidogo.
View attachment 3140488
Yaani kamshangazi kanawaswaga!
Mtoto mzr..kawa kalisha kobasi
Myaudi ana peleka moto simchezo..iulize ile miishangazi yaki Arabu ikuambie hata ww ukijichanganya unapelekewa moto..mpaka ilo sikio la3 liwakeNdio maana mayahudi ni haramu kuliko hata nguruwe