Kamanda Mkubwa wa Hezbollah, Haj Abdullah Muzhim ameuawa na Mayahudi. Imeniumiza sana

Kamanda Mkubwa wa Hezbollah, Haj Abdullah Muzhim ameuawa na Mayahudi. Imeniumiza sana

Ila kiukweli hezbola na hamas sio magaidi ni vikundi vya wapigania uhuru kama vile ilivyokuwa ANC ya kina mandela ni vile tu propaganda za wazayuni zinabebewa mbeleko na media zao na za kibepari.
 
Wakina shaka zulu pia ingekuwa leo wangeitwa magaidi na boers.
 
Na ukristo wangu naanza kubadili mtazamo kuhusu hivi vikundi.
 
Unamtofautishaje nyerere mandela na kina nasrala? Wote malengo ni yaleyale kukomboa mataifa yao kutoka kwenye minyororo ya uonevu.
 
Ndio maana mayahudi ni haramu kuliko hata nguruwe
Myaudi ana peleka moto simchezo..iulize ile miishangazi yaki Arabu ikuambie hata ww ukijichanganya unapelekewa moto..mpaka ilo sikio la3 liwake
 
Back
Top Bottom