Kamanda Mkuu kikosi cha Jeshi la Iran cha Quds apatwa na shambulizi la ghafla la moyo akihojiwa uhusika wake mauaji ya Hassan Nasrallah

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa ambazo hazijathibitishwa - Kamanda huyo Jeshi la Iran Meja Jenerali Esmail Qaani hajaonekana hadharani na hajulikani alipo tokea kuuawa Kwa Kiongozi Mkuu wa Hezbollah hivi karibuni!
---

Unconfirmed report: Quds force commander suffers heart attack during interrogation

An unconfirmed report from Sky News Arabic claims that top commander of Iran’s Quds Force Esmail Qaani suffered a heart attack during an interrogation conducted by Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps over his potential involvement in Israel’s assassination of Hezbollah chief Hassan Nasrallah late last month.

Rumors about Qaani have swirled since the assassination of Nasrallah, since he has not been seen publicly since.

 
Huyo jauwawa kwenye shambulizi la Israel hivi karibudi huko Lebanon. Sasa Iran imetunga hiyo stori ili kujibu wananchi wanaoulizia yupo wapi.
 
Hata mimi niliona news kuwa kahusika kuwapa information Israel
 

Yupo hai.


View: https://youtu.be/DI6oMJ3Z1cU?si=MTqhAsy9Ubahpftb
 
Huyo kamanda alikuwa jasusi wa MOSSAD na sasa yupo Israel tayari,huyu hapa.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20241011-082524.png
    618.6 KB · Views: 4
Sasa wale walio sema yahya sinwari na huyu kamanda kua washakufa walikua wanatudanganya au wanajidanganya wenyewe
 
Haya mambo haya unaweza kukuta pia kipenzi chetu na kobazi mwenzetu Ayatollah nae jasusi la MOssad kwa hali hii eeeenh🤣🤣
 
Israel peleka moto kweli kweli mpk waishe
All the best
 
Mwisho mtasema hata ayatollah ni mosad Kama ilivyokuwa kwa yule Rais wa Russia CIA wa Us 😄😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…