Kamanda Mkuu wa HAMAS, Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa mpya kabisa operesheni za kijeshi za IDF kuwaua Viongozi magaidi inaendelea kwa Kasi ya kutisha

Muda mfupi uliopita Kamanda Mkuu wa Hamas aendaye Kwa jina la Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF huko maeneo ya TURKAREM

Mungu ibariki Israel

===

Local Hamas military chief in Tulkarem reportedly killed in IDF airstrike.

A local leader of Hamas’s military wing, the Izz a-Din al-Qassam Brigades, was killed in an airstrike in Tulkarem this morning, Ynet reports, citing Hamas radio.

He is named as Haythem Balidi.

Five people in total were killed in the strike, Palestinian
media reports.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa mpya kabisa operesheni za kijeshi za IDF kuwaua Viongozi magaidi inaendelea Kwa Kasi ya kutisha

Muda mfupi uliopita Kamanda Mkuu wa Hamas aendaye Kwa jina la Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF huko maeneo ya Tulkarem

Mungu ibariki Israel

Local Hamas military chief in Tulkarem reportedly killed in IDF airstrike

Duuh!! Hawa hamas wangejisalimisha tu watamalizwa sasa
 
sasa kwanini unafurahia mkiristo wa Manzese?
 
Bampa to bampa mom wajue kuwa Israel sio tu nchi ya kawaida.
The Mongolian Savage
Wenzio wanaendelea kuliwa vichwa
Uje uwape pole🤣🤣🤣
Mkuu usijali Iran itarusha vimondo vya kutosha kuelekea Israel kulipiza kisasi.

Imaam Hussein kipenzi chetu cha dhati endelea kupewa qauli thabeet huko Firdaus.
 
Mabikra msimu huu kazi wanayo! Hao wageni wanaopokea per unit time sio poa. Seems for the first time huko peponi kuna queue ya kusubiria "zamu" maana Netanyahu anawapeleka sio mchezo.
🤣🤣🤣
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa mpya kabisa operesheni za kijeshi za IDF kuwaua Viongozi magaidi inaendelea kwa Kasi ya kutisha

Muda mfupi uliopita Kamanda Mkuu wa Hamas aendaye Kwa jina la Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF huko maeneo ya TURKAREM

Mungu ibariki Israel

Local Hamas military chief in Tulkarem reportedly killed in IDF airstrike

A local leader of Hamas’s military wing, the Izz a-Din al-Qassam Brigades, was killed in an airstrike in Tulkarem this morning, Ynet reports, citing Hamas radio.

He is named as Haythem Balidi.

Five people in total were killed in the strike, Palestinian
media reports.
Kwa sasa ni kosa kubwa kuambatana au kupitia karibu na kiongozi wa Hamas au viongozi wa wanamgambo wa hapo Middle East, utakufa kifo sio chako. Ayatollah anapaswa ajiulize huu ujeuri wa Israel unaashiria nini.
 
Waarabu wangekaa kwa utulivu as they're powerless, hawana ubavu wa kuzichapa na mazayuni hata kidogo.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa mpya kabisa operesheni za kijeshi za IDF kuwaua Viongozi magaidi inaendelea kwa Kasi ya kutisha

Muda mfupi uliopita Kamanda Mkuu wa Hamas aendaye Kwa jina la Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF huko maeneo ya TURKAREM

Mungu ibariki Israel

Local Hamas military chief in Tulkarem reportedly killed in IDF airstrike

A local leader of Hamas’s military wing, the Izz a-Din al-Qassam Brigades, was killed in an airstrike in Tulkarem this morning, Ynet reports, citing Hamas radio.

He is named as Haythem Balidi.

Five people in total were killed in the strike, Palestinian
media reports.
Yoyote yule anayeichukia Israeli hana Akili na yoyote yule anayechukia Israeli kufanya Mauwaji haya vile vile hana Akili.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa mpya kabisa operesheni za kijeshi za IDF kuwaua Viongozi magaidi inaendelea kwa Kasi ya kutisha

Muda mfupi uliopita Kamanda Mkuu wa Hamas aendaye Kwa jina la Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF huko maeneo ya TURKAREM

Mungu ibariki Israel

Local Hamas military chief in Tulkarem reportedly killed in IDF airstrike

A local leader of Hamas’s military wing, the Izz a-Din al-Qassam Brigades, was killed in an airstrike in Tulkarem this morning, Ynet reports, citing Hamas radio.

He is named as Haythem Balidi.

Five people in total were killed in the strike, Palestinian
media reports.
Balidi now yupo kwenye balidi🤣
 
Gaid mkubwa Israel kaua tena.Hii ndio kazi ya magaidi kuua.Gaidi Israel kazi yake ni kuua tu,ndio maana Rais Nyerere,alifunga ubalozi wa kigaidi wa Israel.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa mpya kabisa operesheni za kijeshi za IDF kuwaua Viongozi magaidi inaendelea kwa Kasi ya kutisha

Muda mfupi uliopita Kamanda Mkuu wa Hamas aendaye Kwa jina la Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF huko maeneo ya TURKAREM

Mungu ibariki Israel

Local Hamas military chief in Tulkarem reportedly killed in IDF airstrike

A local leader of Hamas’s military wing, the Izz a-Din al-Qassam Brigades, was killed in an airstrike in Tulkarem this morning, Ynet reports, citing Hamas radio.

He is named as Haythem Balidi.

Five people in total were killed in the strike, Palestinian
media reports.
Siku simba akiacha ubabe wake, hata nyumbu watamvuta mkia.
 
Back
Top Bottom