physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 859
- 1,036
Wasiwasi wa Gaidi kubwa Israel kuu?Huyu Israel ndio mkubwa wa magaidi ujue Ndio maana hata Rais Nyerere,aliufunga ubalozi wa magaidi wa Israel.Nina wasi wasi na hizi taarifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiwasi wa Gaidi kubwa Israel kuu?Huyu Israel ndio mkubwa wa magaidi ujue Ndio maana hata Rais Nyerere,aliufunga ubalozi wa magaidi wa Israel.Nina wasi wasi na hizi taarifa.
Kutoka kwa wenyewe Magaidi wakubwa wa Israel?Hawa ndio walimsulubu Yesu na kumuua.Magsidi wakubwa hawa,Wataishia kuzimu,hawatauona ufalme wa mbinguni.Nimeiyona hiyo taarifa huku "
Ισραήλ: Τοπικός αρχηγός της Χαμάς στο Τουλκαρέμ φέρεται να σκοτώθηκε από ισραηλινή επιδρομή"...
Hawana uwezo. Ila kinacho fanyika kama hujui, hata ukikaa kimya watu watazidi kukusogelea hadi ikulu watakuletea watu wao. Sasa nchi ikiwa inaendeshwa na tawala zilizopandikizwa inapoteza Identity, maamuzi juu ya resources zake na raia kifupi wanakuwa watumwa wa nchi zingine. NANI YUPO TAYARI KUONA HAYO YANAFANYIKA NCHINI MWAKE HATA KAMA YEYE NI DHAIFU SANA?Waarabu wangekaa kwa utulivu as they're powerless, hawana ubavu wa kuzichapa na mazayuni hata kidogo.
Kuita Israel gaidi haisaidii kumzuia Israel kuwachapa wana wa Allah ili wawahi kwenda kula mabikira peponiWasiwasi wa Gaidi kubwa Israel kuu?Huyu Israel ndio mkubwa wa magaidi ujue Ndio maana hata Rais Nyerere,aliufunga ubalozi wa magaidi wa Israel.
Hawa magaidi wakubww ndio walimsulubu Yesu na kumuua,na pia kusena Yesu ni mtoto wa nje ya ndoa,watakwenda kuzimu,ufalme wa mbinguni,hawatauona,,magaidi wakubwa hao.Ndio maana Rais Nyerere akafunga Ubalozi wa magaidi wa Israel Tanzania.Kuita Israel gaidi haisaidii kumzuia Israel kuwachapa wana Allah ili wawahi kwenda kula mabikira peponi
Israel hafanyi mauwaji. Anailinda nchi yake aliyopewa na Mungu. Ulinzi wa dola na watu wake haujawahi kuitwa mauwaji! Kazi njema kabisa Netanyahu anatekeleza.Yoyote yule anayeichukia Israeli hana Akili na yoyote yule anayechukia Israeli kufanya Mauwaji haya vile vile hana Akili.
Tunafurahia mabikira 72 wanaenda kutolewa bikra zaosasa kwanini unafurahia mkiristo wa Manzese?
Na wewe jipeleke tukakuue..Gaid mkubwa Israel kaua tena.Hii ndio kazi ya magaidi kuua.Gaidi Israel kazi yake ni kuua tu,ndio maana Rais Nyerere,alifunga ubalozi wa kigaidi wa Israel.
Kwa taarifa yako Yesu mwenyewe aliwasamehe pale alipokuwa msalabani kwa kusema "Baba wasamehe kwani hawajui walitendalo"Hawa magaidi wakubww ndio walimsulubu Yesu na kumuua,na pia kusena Yesu ni mtoto wa nje ya ndoa,watakwenda kuzimu,ufalme wa mbinguni,hawatauona,,magaidi wakubwa hao.Ndio maana Rais Nyerere akafunga Ubalozi wa magaidi wa Israel Tanzania.
Hawa "wahimili wa uovu" huwa wanatumia "human shield", sasa raia wa kawaida wajue kabisa kuwa karibu na waovu ni kuhatarisha usalama wako binafsi.Kwa sasa ni kosa kubwa kuambatana au kupitia karibu na kiongozi wa Hamas au viongozi wa wanamgambo wa hapo Middle East, utakufa kifo sio chako. Ayatollah anapaswa ajiulize huu ujeuri wa Israel unaashiria nini.
😄😄😄😄Mabikra msimu huu kazi wanayo! Hao wageni wanaopokea per unit time sio poa. Seems for the first time huko peponi kuna queue ya kusubiria "zamu" maana Netanyahu anawapeleka sio mchezo.
Operesheni ya namna hii ndo bwana sinenepi anatakiwa aipeleke kule msumbiji .......tena anazama kwa wale viongozi kabisaYoyote yule anayeichukia Israeli hana Akili na yoyote yule anayechukia Israeli kufanya Mauwaji haya vile vile hana Akili.
Hao mabikira huwa wanatoka wapi ilihali wakifa huku DUNIANI huwa washazalishwa mitoto mingi kaa panya?Mabikra msimu huu kazi wanayo! Hao wageni wanaopokea per unit time sio poa. Seems for the first time huko peponi kuna queue ya kusubiria "zamu" maana Netanyahu anawapeleka sio mchezo.
Ni sahihi, tatizo lipo kwa muuuasilishaji. Kule Aljazera wameandika "Hamas local comander" hivyo basi ni kamanda lakini siyo kamanda mkubwa bali ni kamanda wa hilo eneo aliloulizwa. Ndiye alikuwa msimamizi wa wanamgambo wa Hamas huko.Nina wasi wasi na hizi taarifa.
Local kamanda alindww na walinzi watano?Ni sahihi, tatizo lipo kwa muuuasilishaji. Kule Aljazera wameandika "Hamas local comander" hivyo basi ni kamanda lakini siyo kamanda mkubwa bali ni kamanda wa hilo eneo aliloulizwa. Ndiye alikuwa msimamizi wa wanamgambo wa Hamas huko.