Kamanda Mkuu wa HAMAS, Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF

Kamanda Mkuu wa HAMAS, Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF

Nimeiyona hiyo taarifa huku "

Ισραήλ: Τοπικός αρχηγός της Χαμάς στο Τουλκαρέμ φέρεται να σκοτώθηκε από ισραηλινή επιδρομή"...​

Nimeiyona hiyo taarifa huku "

Ισραήλ: Τοπικός αρχηγός της Χαμάς στο Τουλκαρέμ φέρεται να σκοτώθηκε από ισραηλινή επιδρομή"...​

Kutoka kwa wenyewe Magaidi wakubwa wa Israel?Hawa ndio walimsulubu Yesu na kumuua.Magsidi wakubwa hawa,Wataishia kuzimu,hawatauona ufalme wa mbinguni.
 
Waarabu wangekaa kwa utulivu as they're powerless, hawana ubavu wa kuzichapa na mazayuni hata kidogo.
Hawana uwezo. Ila kinacho fanyika kama hujui, hata ukikaa kimya watu watazidi kukusogelea hadi ikulu watakuletea watu wao. Sasa nchi ikiwa inaendeshwa na tawala zilizopandikizwa inapoteza Identity, maamuzi juu ya resources zake na raia kifupi wanakuwa watumwa wa nchi zingine. NANI YUPO TAYARI KUONA HAYO YANAFANYIKA NCHINI MWAKE HATA KAMA YEYE NI DHAIFU SANA?
 
Kuita Israel gaidi haisaidii kumzuia Israel kuwachapa wana Allah ili wawahi kwenda kula mabikira peponi
Hawa magaidi wakubww ndio walimsulubu Yesu na kumuua,na pia kusena Yesu ni mtoto wa nje ya ndoa,watakwenda kuzimu,ufalme wa mbinguni,hawatauona,,magaidi wakubwa hao.Ndio maana Rais Nyerere akafunga Ubalozi wa magaidi wa Israel Tanzania.
 
Gaid mkubwa Israel kaua tena.Hii ndio kazi ya magaidi kuua.Gaidi Israel kazi yake ni kuua tu,ndio maana Rais Nyerere,alifunga ubalozi wa kigaidi wa Israel.
Na wewe jipeleke tukakuue..
 
Hawa magaidi wakubww ndio walimsulubu Yesu na kumuua,na pia kusena Yesu ni mtoto wa nje ya ndoa,watakwenda kuzimu,ufalme wa mbinguni,hawatauona,,magaidi wakubwa hao.Ndio maana Rais Nyerere akafunga Ubalozi wa magaidi wa Israel Tanzania.
Kwa taarifa yako Yesu mwenyewe aliwasamehe pale alipokuwa msalabani kwa kusema "Baba wasamehe kwani hawajui walitendalo"
Lakini pia nyerere kufunga ubalozi wa Israel hapa Tanzania sio kipimo cha usahihi wake kwa sababu tunajua mapungufu mengi Nyerere aliyosababishia taifa hili.
Hivyo kipigo kwa waasi wa Hamas kiko pale pale huku tukio la October 7 hakijasahulika kwa wana wa Israel.
 
Hivi hakuna wa kumkemea kabisa Israel?au ana baraka zote kutoka kwa wenye hii dunia yao?
 
Kwa sasa ni kosa kubwa kuambatana au kupitia karibu na kiongozi wa Hamas au viongozi wa wanamgambo wa hapo Middle East, utakufa kifo sio chako. Ayatollah anapaswa ajiulize huu ujeuri wa Israel unaashiria nini.
Hawa "wahimili wa uovu" huwa wanatumia "human shield", sasa raia wa kawaida wajue kabisa kuwa karibu na waovu ni kuhatarisha usalama wako binafsi.
 
Mabikra msimu huu kazi wanayo! Hao wageni wanaopokea per unit time sio poa. Seems for the first time huko peponi kuna queue ya kusubiria "zamu" maana Netanyahu anawapeleka sio mchezo.
Hao mabikira huwa wanatoka wapi ilihali wakifa huku DUNIANI huwa washazalishwa mitoto mingi kaa panya?
 
Nina wasi wasi na hizi taarifa.
Ni sahihi, tatizo lipo kwa muuuasilishaji. Kule Aljazera wameandika "Hamas local comander" hivyo basi ni kamanda lakini siyo kamanda mkubwa bali ni kamanda wa hilo eneo aliloulizwa. Ndiye alikuwa msimamizi wa wanamgambo wa Hamas huko.
 
Local kamanda alindww na walinzi watano?

Huyo SI ni mtu mdogo huyo?
 
Back
Top Bottom