Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior operatives slain in Israeli strikes as commanders.

Hezbollah says Wahabi was the head of the terror group’s “central training unit,” and was previously a top commander in the elite Radwan Force. Like other Hezbollah officers, Wahabi was also involved in fighting for the Assad regime in Syria during the civil war.


Reuters
 
Hongera zake kuuawa
 
Taarifa ndiyo imeishia hapo?
 
Mashindano ya kuwahi bikira yanaendelea

Ndugu zangu ukimuona mtu kamukataa YESU KRISTO huyu mtu mwangalie sana

Hamas na Israel hawa wote wamemkataa YESU KRISTO kwahiyo hiii ni laana yao yenyewe

Kumbuka pia uislam ni laana ukishakuwa mwisilam tiar unakuwa umelaniwa moja moja
 
Hawa wafia dini watamalizwa jamani? Benjamin Netanyahuu hacheki na kima
 
Ka-nchi kadogo lakini shughuli yake kubwa. Ukanda mzima umenywea. Hakuna jirani anafungua mdomo.
View attachment 3101855
Bwege wewe US karudisha carries zake mbio mbio zipo kwenye bahari karibu na Lebanon. Afu kuna fununu Internal security ya Lebanon ndio imehusika kuwapa infomation jana Israel. Tulieni huoni leo Israel anajidai hata hataki full scale war na Hezbullah atajua hata auwe viongozi wako walio komao ni balaa zaidi ya hao.
 
1. US ndio anazuia majirani wote kumtwanga Israel? Kwani wao ndio wa kwanza kusaidiwa na US? Mbona Russia anapambana na Ukraine.

2. Jana internal Security ya Lebanon imewapa Israel infor? Kwani ukanda huo ubabe wameanza jana?
 
Hahaha eti idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…