Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

Wadau hamjamboni nyote?

Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior operatives slain in Israeli strikes as commanders.

Hezbollah says Wahabi was the head of the terror group’s “central training unit,” and was previously a top commander in the elite Radwan Force. Like other Hezbollah officers, Wahabi was also involved in fighting for the Assad regime in Syria during the civil war.

Reuters
chukua chako mfanya mvua! hivyo ndo shoka la israel linavyokamua kichwa cha wabishi wa mashariki ya kati. huu ujanja mwaka 1972 wa kuwauwa viongozi wa juu ndo ujanja huu Israel ilitumia kuwamaliza Black september.
 
Hii ndio maana halisi ya kichaa kapewa rungu hizo nguvu alizopewa na mmarekani wanazitumia vibaya hawana akili kabisa hawa mazayuni
 
Back
Top Bottom