Kamanda, mkuu wa kikosi cha vifaru Urusi ajitoa uhai

Duh hata jina tu hamna. Nb kifaru kimoja Kati ya 10 inamaana Kama vilikuwa 100 kwa Sasa vipo 90..
Vingine vinachekesha sana
 
Source ni Daily mail ya Uingereza??[emoji23][emoji23]

Hao kama BBC tu. Ingekuwa Reuters au Al Jazeera ni Trustable
My friend why huwa mnapenda kuitaja al Jazeera kuwa eti hutoa Habari za ukweli?? Hiyo hadithi iliishia 2003 wakati wa vita vya Iraq. AL Jazeera ni full controlled by USA kupitia CIA. Ndio maana haijafungiwa kwenye system za magharibi. AL Jazeera ni part ya Western propaganda horn. Ndio Maana tangu mwanzo wapo against Russia... Sio wakati huu wa vita ya Ukraine no siku zote.. Huwa wanazungumzia negatively. Anzia mgogoro wa Ukraine 2014..nenda 2015 against Assad wa Syria na Russia. Ndio walikuwa wanawasapoti hadi isis.
UTAWALA wa Qatar umewekwa na unalindwa na Marekani.. Hawawezi kwenda kinyume nao never. Walijaribu mwanzoni miaka ya 2000 kwa kujikita kwenye kutetea nchi za kiislam wakashikishwa adabu na sasa editorial yote ya Habari ipo under CIA.

Waseme ukweli halafu mmarekani awachekee tuu is it possible my friend.
 
Toka mwanzo hakuna sehemu wala siku Urusi alisema anataka kuikamata miji yote ya Ukraine, huko kiev alienda kupunguza nguvu za kijeshi za Ukraine baada ya kufanya hilo anaondoka ila wakianza kumkisanyia hizo nguvu atarudi, hataki kuwatawala anataka wasiwe na nguvu za ki NATO hilo ndo lengo la Urusi
 
Hii ni baada ya kutathmini idadi ya vifaru kwenye hifadhi na kugundua vingi vimeibiwa "parts" na havipo tayari kwa shughuli huku vilivyo kwenye uwanja wa mapambano vimeliwa shaba na kupunguzwa pakubwa. Jamaa ameona isiwe tabu maana utamjibuje Putin na alivyokua chizi hashikiki wala kushaurika, unaweza ukafanyiwa mateso ya mwaka.

Pia kuna taarifa za Urusi kuandaa mikakati ya kugeuza na kushikilia jimbo moja tu maana Kiev imeshindikana.

Jameni Ukraine huu ugomvi ukiisha wamrudie Mungu maana kwa kweli ilikua tension dunia yote, tulijua watasambaratishwa asibaki kiumbe chochote ukizingatia namna Urusi husifiwa, aidha itakua hao Urusi ni Supa pawa wa mchongo au wamevurugika kimiujiza miujiza kama ilivyokua kwa Goliath kwenye pambano lake dhidi ya Daudi.

====================================

Russian tank regiment commander killed himself ‘after finding out 90% of tanks held in reserve were unusable because parts had been stolen’, claims Ukrainian intelligence​

  • Kyiv's Ministry of Defence claimed the commander was with the 4th tank divison
  • It claimed he killed himself when he realised state Russian reserve tanks were in
  • Kyiv said in his unit, one out of 10 tanks in storage were 'more or less' operational
  • The commander becomes the latest high-ranking Russian military official to have died in Ukraine since Putin ordered his forces to invade Ukraine on Feb. 24
Vita vya kutumia vifa vimeshapitwa na wakati. Vifaru tupa kule, ingiza makombora ya hypersonic wacheze nayo
 
Toka mwanzo hakuna sehemu wala siku Urusi alisema anataka kuikamata miji yote ya Ukraine, huko kiev alienda kupunguza nguvu za kijeshi za Ukraine baada ya kufanya hilo anaondoka ila wakianza kumkisanyia hizo nguvu atarudi, hataki kuwatawala anataka wasiwe na nguvu za ki NATO hilo ndo lengo la Urusi

Ha ha ha! Mumeanza kubadilisha wimbo, mwanzo ilikua aondoe utawala wa neo-NAZI huko Kiev, amekutana na kile hakutegemea.
Urusi itarudi nyuma kiuchumi na kijeshi hadi kwenye kiwango cha ulimwengu wa tatu.
 
Itakuwa ni propaganda tu za wamagharibi huenda Urusi ilisha maliza operation yake siku nyingi sanaaa siamini kwamba kijeshi dhaifu cha Ukraine eti kiwe bado kinamsumbua Mrusi hadi leo haiwezekani kabisaaa wanashindwa kusema ukweli tu.
 
Kwahiyo hivyo vifaru vilivyoko Ukraine vyenyewe vilifichwa wapi mpaka havikuchomotewa spare parts na hao wapiga dili wa moscow
 
Mnatumia nguvu kubwa kutuaminisha Propaganda za wamarekani na washirika wake 😁😁 siku wanamkamata Zelensky sijui mtaonyesha wapi sura zenu, au mtaendelea kutuletea Propaganda zenu 😁😁 shame on you
 
Ivi Putini mwenyewe bado hajakuwa na maamuzi magumu shooting himself..? hali aliyonayo ni mbaya Ukraine wameamua kumshambulia hadi Donabas hii ni aibu kwa huyu aliyekuwa akijitapa kwamba dunia ipo kiganjani mwake
Wakati Hadi hivisasa amekaa Mahalia kamguu juu anautikisatikisa baada ya kupindua meza ya mabeberu ulaya na USA.Anapiga mlizi kuwa ruble yake ni the juu ya dollar.😂
 
Mkuu ruble itakujaje juu? Unaambiwa russia saiv wananchi wamepanga foleni wananunua sukari kwa kilograms na mtu asizidi kilo 2
 
Ha ha ha! Mumeanza kubadilisha wimbo, mwanzo ilikua aondoe utawala wa neo-NAZI huko Kiev, amekutana na kile hakutegemea.
Urusi itarudi nyuma kiuchumi na kijeshi hadi kwenye kiwango cha ulimwengu wa tatu.
Siyo kunadilisha wimbo, fuatilia toka waanza hiyo oparesheni Putin alisema wazi hawana nia ya kuitawala Ukraine, bali wanaenda kupuguza nguvu za kuweza kuhatarisha maisha ya warusi, ndo maana mwanzoni alikuwa anawaambia ondokeni nataka nipige sehemu flani. Hayo mengine ni ya vyombo vya habari ili mradi Urusi aonekane mbaya
 
Nasikia ukiwa na chupa moja ya mvinyo ukaingia kambi ya jeshi la russia ukasema mtu anipe starter ya kufaru unaletewa faster? Na nyongeza ya orternator na spark plugs 6... Jeshi la russia ni jeshi la chapombe
 
Ivi Putini mwenyewe bado hajakuwa na maamuzi magumu shooting himself..? hali aliyonayo ni mbaya Ukraine wameamua kumshambulia hadi Donabas hii ni aibu kwa huyu aliyekuwa akijitapa kwamba dunia ipo kiganjani mwake
Endeleeni kulishwa matango pori na huyo sleepy son of a bitch Bidden
Screenshot_20220327-180108_Telegram.jpg
 
Nasikia ukiwa na chupa moja ya mvinyo ukaingia kambi ya jeshi la russia ukasema mtu anipe starter ya kufaru unaletewa faster? Na nyongeza ya orternator na spark plugs 6... Jeshi la russia ni jeshi la chapombe
Sasa angalia unaowaita vyapombe wanavyo wagaragaza ndugu zako waliokubali kutumiwa na mabeberu.
 
Hii ni baada ya kutathmini idadi ya vifaru kwenye hifadhi na kugundua vingi vimeibiwa "parts" na havipo tayari kwa shughuli huku vilivyo kwenye uwanja wa mapambano vimeliwa shaba na kupunguzwa pakubwa. Jamaa ameona isiwe tabu maana utamjibuje Putin na alivyokua chizi hashikiki wala kushaurika, unaweza ukafanyiwa mateso ya mwaka.

Pia kuna taarifa za Urusi kuandaa mikakati ya kugeuza na kushikilia jimbo moja tu maana Kiev imeshindikana.

Jameni Ukraine huu ugomvi ukiisha wamrudie Mungu maana kwa kweli ilikua tension dunia yote, tulijua watasambaratishwa asibaki kiumbe chochote ukizingatia namna Urusi husifiwa, aidha itakua hao Urusi ni Supa pawa wa mchongo au wamevurugika kimiujiza miujiza kama ilivyokua kwa Goliath kwenye pambano lake dhidi ya Daudi.

====================================

Russian tank regiment commander killed himself ‘after finding out 90% of tanks held in reserve were unusable because parts had been stolen’, claims Ukrainian intelligence​

  • Kyiv's Ministry of Defence claimed the commander was with the 4th tank divison
  • It claimed he killed himself when he realised state Russian reserve tanks were in
  • Kyiv said in his unit, one out of 10 tanks in storage were 'more or less' operational
  • The commander becomes the latest high-ranking Russian military official to have died in Ukraine since Putin ordered his forces to invade Ukraine on Feb. 24
 
Hii ni baada ya kutathmini idadi ya vifaru kwenye hifadhi na kugundua vingi vimeibiwa "parts" na havipo tayari kwa shughuli huku vilivyo kwenye uwanja wa mapambano vimeliwa shaba na kupunguzwa pakubwa. Jamaa ameona isiwe tabu maana utamjibuje Putin na alivyokua chizi hashikiki wala kushaurika, unaweza ukafanyiwa mateso ya mwaka.

Pia kuna taarifa za Urusi kuandaa mikakati ya kugeuza na kushikilia jimbo moja tu maana Kiev imeshindikana.

Jameni Ukraine huu ugomvi ukiisha wamrudie Mungu maana kwa kweli ilikua tension dunia yote, tulijua watasambaratishwa asibaki kiumbe chochote ukizingatia namna Urusi husifiwa, aidha itakua hao Urusi ni Supa pawa wa mchongo au wamevurugika kimiujiza miujiza kama ilivyokua kwa Goliath kwenye pambano lake dhidi ya Daudi.

====================================

Russian tank regiment commander killed himself ‘after finding out 90% of tanks held in reserve were unusable because parts had been stolen’, claims Ukrainian intelligence​

  • Kyiv's Ministry of Defence claimed the commander was with the 4th tank divison
  • It claimed he killed himself when he realised state Russian reserve tanks were in
  • Kyiv said in his unit, one out of 10 tanks in storage were 'more or less' operational
  • The commander becomes the latest high-ranking Russian military official to have died in Ukraine since Putin ordered his forces to invade Ukraine on Feb. 24
We jamaa
Tokea nikujue hapa Jf..miaka yote,nimekuona ni mtu mjinga sana tena zaidi ya hata Kigogo

Angalia mambo ya Nchi yako na ndg zako.
 
Back
Top Bottom