Kamanda, mkuu wa kikosi cha vifaru Urusi ajitoa uhai

Kamanda, mkuu wa kikosi cha vifaru Urusi ajitoa uhai

Hii ni baada ya kutathmini idadi ya vifaru kwenye hifadhi na kugundua vingi vimeibiwa "parts" na havipo tayari kwa shughuli huku vilivyo kwenye uwanja wa mapambano vimeliwa shaba na kupunguzwa pakubwa. Jamaa ameona isiwe tabu maana utamjibuje Putin na alivyokua chizi hashikiki wala kushaurika, unaweza ukafanyiwa mateso ya mwaka.

Pia kuna taarifa za Urusi kuandaa mikakati ya kugeuza na kushikilia jimbo moja tu maana Kiev imeshindikana.

Jameni Ukraine huu ugomvi ukiisha wamrudie Mungu maana kwa kweli ilikua tension dunia yote, tulijua watasambaratishwa asibaki kiumbe chochote ukizingatia namna Urusi husifiwa, aidha itakua hao Urusi ni Supa pawa wa mchongo au wamevurugika kimiujiza miujiza kama ilivyokua kwa Goliath kwenye pambano lake dhidi ya Daudi.


====================================

Russian tank regiment commander killed himself ‘after finding out 90% of tanks held in reserve were unusable because parts had been stolen’, claims Ukrainian intelligence​

  • Kyiv's Ministry of Defence claimed the commander was with the 4th tank divison
  • It claimed he killed himself when he realised state Russian reserve tanks were in
  • Kyiv said in his unit, one out of 10 tanks in storage were 'more or less' operational
  • The commander becomes the latest high-ranking Russian military official to have died in Ukraine since Putin ordered his forces to invade Ukraine on Feb. 24

90%? Don't rely on American news, utapotea kabisa, Ukraine anapata kipigo kitakatifu, nchi imekuwa magofu, scraped, ww unaongelea Russian tankers? US news outlets usiziamini. Fuatilia matokeo ya vita ndio uone, Ukraine imeharibika kabisa
 
Mkuu putini kashindwa vita, kisago alicho kipata wiki hii kaona achomoe Kyiv sasa wahuni wanafata huko huko
Kijana mdogo Zelensky amemuabisha mtu mzima!
Hivi ile misafara ya km zaidi ya 40 ya Urusi kuelekea Kyiv imeishia wapi?!
 
Kw
My friend why huwa mnapenda kuitaja al Jazeera kuwa eti hutoa Habari za ukweli?? Hiyo hadithi iliishia 2003 wakati wa vita vya Iraq. AL Jazeera ni full controlled by USA kupitia CIA. Ndio maana haijafungiwa kwenye system za magharibi. AL Jazeera ni part ya Western propaganda horn. Ndio Maana tangu mwanzo wapo against Russia... Sio wakati huu wa vita ya Ukraine no siku zote.. Huwa wanazungumzia negatively. Anzia mgogoro wa Ukraine 2014..nenda 2015 against Assad wa Syria na Russia. Ndio walikuwa wanawasapoti hadi isis.
UTAWALA wa Qatar umewekwa na unalindwa na Marekani.. Hawawezi kwenda kinyume nao never. Walijaribu mwanzoni miaka ya 2000 kwa kujikita kwenye kutetea nchi za kiislam wakashikishwa adabu na sasa editorial yote ya Habari ipo under CIA.

Waseme ukweli halafu mmarekani awachekee tuu is it possible my friend.
Ahiyo mkuu sources zako neutral za kuaminika ni zipi?
 
Itakuwa ni propaganda tu za wamagharibi huenda Urusi ilisha maliza operation yake siku nyingi sanaaa siamini kwamba kijeshi dhaifu cha Ukraine eti kiwe bado kinamsumbua Mrusi hadi leo haiwezekani kabisaaa wanashindwa kusema ukweli tu.
Haya majitu maongo sana.
Mkuu ruble itakujaje juu? Unaambiwa russia saiv wananchi wamepanga foleni wananunua sukari kwa kilograms na mtu asizidi kilo 2
Unadhani bongo huko eti


Marekani na washirika wake wamewapata wa kuadanganya.
 
Nani strong sasa kuliko Putin, maana tumeona vita vingi duniani, US kakaa miaka 20 Afghastan kashindwa kuwamaliza Taliban, mwisho kakimbia kawaachia nchi, halafu Taliban hawana cha maana zaidi ya mawe na rifle
Taliban hao hao walimfurusha mrusi
 
Taliban hao hao walimfurusha mrusi
Soviet ile ilikuwa imechoka ndio wakati ilivunjika vunjika, sasa US kakaa miaka 20 halafu jamaa wapo ndani ya wiki wamechuka nchi, sasa US alikuwa anafanya nini kule Afghanstan miaka yote 20?
 
Siyo kunadilisha wimbo, fuatilia toka waanza hiyo oparesheni Putin alisema wazi hawana nia ya kuitawala Ukraine, bali wanaenda kupuguza nguvu za kuweza kuhatarisha maisha ya warusi, ndo maana mwanzoni alikuwa anawaambia ondokeni nataka nipige sehemu flani. Hayo mengine ni ya vyombo vya habari ili mradi Urusi aonekane mbaya

Hata mbadilishe wimbo, ni dhahiri huyo ni supa pawa wa mchongo, useless kabisa, na asipokua makini ataipoteza hadi Crimea, atafute jinsi ya kusuluhisha maana tayari upepo umegeuzwa, anapokea kichapo balaa.
 
Mngejikita hapa kwanza

UN warns 90 percent of Ukrainians could face poverty if war continues​

The United Nations Development Programme (UNDP) says if the conflict in Ukraine does not stop soon 90 percent of the country’s population could fall into poverty.
Hazina na Mali zoote za Russia na wale ma-oligarchs zilizopigwa pini huko nje zitapelekwa Ukraine baada ya uvamizi wa putin
 
Nyie mnaelewa nini kuhusu vita,shughulikeni na balaa la njaa kwanza lililoko nchini mwenu. Siyo maneno yangu mkuu,usinikasirikie
mijitu ambayo haiwezi hata kuzihami nafsi zao kwa njaa nayo yanashabikia vita ya Russia vs ukraine
 
Nani strong sasa kuliko Putin, maana tumeona vita vingi duniani, US kakaa miaka 20 Afghastan kashindwa kuwamaliza Taliban, mwisho kakimbia kawaachia nchi, halafu Taliban hawana cha maana zaidi ya mawe na rifle
Malizia kabisa watu wanapigana vita wamevaa kanzu na sendo chini, hawana cha bullet proof wala boots chini ila wamewata kamasi wajuba
 
Kama kawaida [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116]
Screenshot_20220326-013126.jpg
 
Back
Top Bottom