Kamanda Mulilo: Ushirikina, Kudaiana ni miongoni mwa sababu za watu kupotea

Kamanda Mulilo: Ushirikina, Kudaiana ni miongoni mwa sababu za watu kupotea

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA

Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?

Mdude naye alikuwa anadaiwa,

Mawazo naye alikuwa anadaiwa,

Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema

Pili Mbona wote ni wa Chadema?

Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?

1753172993416.jpeg
 
Attachments

View attachment 3414238
Yupo sahihi walikuwa wanadaiwa na SAMIA 👉WAWE MACHAWA WAKAKATAA KAWAUA
 
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA

Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?

Mdude naye alikuwa anadaiwa,

Mawazo naye alikuwa anadaiwa,

Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema

Pili Mbona wote ni wa Chadema?

Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?

View attachment 3414238
Bora angenyamaza, what a pathetic reasoning
 
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA

Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?

Mdude naye alikuwa anadaiwa,

Mawazo naye alikuwa anadaiwa,

Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema

Pili Mbona wote ni wa Chadema?

Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?

View attachment 3414238
Maelezo ya kishenzi.
Kwani huko nyuma hayo aliyo yaeleza hayakuwepo??
 
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA

Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?

Mdude naye alikuwa anadaiwa,

Mawazo naye alikuwa anadaiwa,

Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema

Pili Mbona wote ni wa Chadema?

Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?

View attachment 3414238
Screenshot_20250615-124118~2.png
 
sawa tumekubali wanaopotea wote walikuwa wanaikosoa ccm.je walikuwa wanadaiwa na ccm? je km walikuwa wanadaiwa hayo ndyo malipo yao kisheria?nn kazi ya police
 
asante naona watu wamechukizwa na majibu yake.

suluhisho

1753174735559.png
 
Afande acha masihara unatuambia ushirikina na kudaiana umeanza awamu hii na zaidi kwa wanachadema tu.mdude na wenzake kama yeye waliwaloga nani?
 
Hata mpumbavu huonekana mwenye HEKIMA akili/mwerevu kama tu akiamua AKINYAMAZA KIMYA bila kuongea.
Ni ngumu sana watu kujua kama huna akili kama hujaongea/mpaka uongee.
 
Kuna mtu alitegemea maelezo tofauti toka kwa hiki kichwa? Ingekua ajabu lingine la dunia kama angekuja na maelezo tofauti na haya, anyway ndio mwisho wa uwezo wake na wa aliyemtuma

Nilipokuwa mtoto miaka ya nineteen kweusi nilikua naamini ukiwa mtu mzima unakuwa na akili, hasa nilipokuwa naona classmates wangu hawajui kusoma na tunakaribia la saba, nikajuaga mbele ya safari watajua, unfortunately hadi uzeeni hawajajua hata kuandika barua!
 
Back
Top Bottom