Kamanda Mulilo: Ushirikina, Kudaiana ni miongoni mwa sababu za watu kupotea

Kamanda Mulilo: Ushirikina, Kudaiana ni miongoni mwa sababu za watu kupotea

Sawa Kamanda tumekusoma vizuri hata Kutekwa kwa Mdude akiwa nyumbani kwake usiku pia Kutekwa kwa Mzee Ally Kibao akiwa safarini kwenye Bus na kukutwa kafariki ni USHIRIKINA uliopitiliza katika nchi yetu.
 
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA

Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?

Mdude naye alikuwa anadaiwa,

Mawazo naye alikuwa anadaiwa,

Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema

Pili Mbona wote ni wa Chadema?

Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?

View attachment 3414238
Kwa hiyo Dada yetu alikuwa ana daiwa, au ni kutokana na ushirikiana. Na wale ndugu zetu wa nchi jirani nao ilikuwa kama Muliro ana vyo sema
 
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA

Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?

Mdude naye alikuwa anadaiwa,

Mawazo naye alikuwa anadaiwa,

Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema

Pili Mbona wote ni wa Chadema?

Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?

View attachment 3414238
Hajafunzwa kunyamaza?
 
Hebu atuambie nani alikua anamdai flan akapotezwa na flan?
 
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA

Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?

Mdude naye alikuwa anadaiwa,

Mawazo naye alikuwa anadaiwa,

Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema

Pili Mbona wote ni wa Chadema?

Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?

View attachment 3414238
Hata wanaopotea kwa ushirikina na kudaiana ni wajibu wa serikaki kuwalinda.

Ali Hassan Mwinyi alivyokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alijiuzulu kwa sababu wanawake waliuawa kwa imani za ushirikina.

Sasa Kamanda Muliro ana mpango gani wa kuwanasa wanaopoteza watu kwa ushirikina na kudaiana na kupunguza kama si kutatua tatizo hili?
 
Aisee, haya maneno yawe recorded na hizi kesi waje wajibu hata watoto wake, Kila kijana wake mwenye umri unaodhidi 18yrs kwasasa anapaswa kula kiapo kuyakana maneno ya baba yake kama hawatofanya hivyo waje kuwa sehemu ya kesi.

Ni kweli wapo wanaopotea kwa sababu hizo sio leo tu hata toka enzi za Mwalimu na sio Tanzania tu hata USA hutokea, kama jeshi la polisi tulipaswa kuona zipo hizo evidence na kesi zilizopo mahakamani zinazothibisha Mdude Nyagali, Soka, Ben Saanane nk walichukua wake za watu, au walikuwa wamedhulumu, Polisi waje na ushahidi wa hizo kesi na watu waliokamatwa.

Ina maana Muliro anataka kutuambia, Tanzania adhabu ya ugoni ni mtu kutekwa au kuuwawa, kesi ya kudhulumiana adhabu yake ni kutekwa ? kulawitiwa na kuuwawa?.
Muliro aambiwe jamii ya sasa kwakiasi kikubwa imesoma na kustaarabika, Kila jambo anapolitolea majibu awe ametuliza kichwa maana majibu yake yanaweza kuzua maswali mengine meengi sana.

ndani ya mitaa ya Damascus - Syria.
 
Wapo wanaopotea kwa sababu hizo na wapo wanaopotea kwa sababu nje ya hizo.

BTW:ITV wana kipindi kinaitwa YU WAPI hapo kila siku watu wanatangaza ndugu zao kupotea ila zaidi ni watoto,wazee na wenye changamoto ya afya ya akili.
 
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA

Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?

Mdude naye alikuwa anadaiwa,

Mawazo naye alikuwa anadaiwa,

Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema

Pili Mbona wote ni wa Chadema?

Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?

View attachment 3414238
 
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA

Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?

Mdude naye alikuwa anadaiwa,

Mawazo naye alikuwa anadaiwa,

Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema

Pili Mbona wote ni wa Chadema?

Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?

View attachment 3414238
Huyu siku zake zinahesabika
 
NAOMBA NIONGEZE NA VINGINE,WIVU WA KIMAPENZI,KUPOKA MKE WA MTU NA KUTAMBA NAE,KUMWIBIA MWENZAKO NA KUMFANYIA UTEMI,DHULUMA ZA WAZI WAZI BAINA YA WAFANYABIASHARA (KUNDI HILI NDILO HATARI ZAIDI)
 
Back
Top Bottom