Yupo sahihi walikuwa wanadaiwa na SAMIA 👉WAWE MACHAWA WAKAKATAA KAWAUAMULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA
Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?
Mdude naye alikuwa anadaiwa,
Mawazo naye alikuwa anadaiwa,
Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema
Pili Mbona wote ni wa Chadema?
Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?
View attachment 3414238
Bora angenyamaza, what a pathetic reasoningMULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA
Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?
Mdude naye alikuwa anadaiwa,
Mawazo naye alikuwa anadaiwa,
Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema
Pili Mbona wote ni wa Chadema?
Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?
View attachment 3414238
Maelezo ya kishenzi.MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA
Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?
Mdude naye alikuwa anadaiwa,
Mawazo naye alikuwa anadaiwa,
Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema
Pili Mbona wote ni wa Chadema?
Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?
View attachment 3414238
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA
Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?
Mdude naye alikuwa anadaiwa,
Mawazo naye alikuwa anadaiwa,
Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema
Pili Mbona wote ni wa Chadema?
Mwisho: Swali kwako Mheshimiwa, List hii ya TLS, nayo unaisemeaje?
View attachment 3414238
🤣🤣🤣umewakamataKumbe serikali inaamini ushirikina?