GE2025 Kamanda Muliro: Kama sheria haijakataza NRNE, basi imeruhusu NRNE

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
790
Reaction score
1,316
Kuelekea uchaguzi mkuu October 29, Jana August 20, kamanda Jumanne Murilo alifanya tathmini ya UHALALI wa kauli mbiu ya "October tunatiki" ya CCM, dhidi ya "No reforms No ection" ya CHADEMA.

Kwa maoni yake, alihitimisha kwa kusema "October tunatiki ni HALALI na "No reforms, No election" ni JINAI. Hoja yake ikiwa hakuna sheria inayoruhusu "No reforms, No election" ingawa hakutuambia pia ni sheria gani imepiga marufuku "No reforms, No election"

Kwenye sheria kuna mambo yanaitwa legal maxim, hii ni misingi ya kutafsiri sheria, mojawapo ukiwa ni “Quod lege non prohibitum, licitum est.” ikimaanisha "What is not prohibited by law is allowed" kwa kiswahili "kama sheria haijakataza, basi imeruhusu"

Ni jambo lililo wazi kuwa kama hakuna sheria inayopiga marufuku "No reforms, No election" basi "No reforms, No election" zimeruhusiwa. Kwanafasi yako kama msimamizi wa sheria kama ukipewa amri ya kuzuia "No reform, No election" hoji utekeleze zuio hilo kwa sheria ipi?

Maoni yangu ni kuwa, kwa watumishi wa umma, ni vyema tukazingatia IMPARTIALITY tunapotekeleza majukumu yetu. "October tunatiki" na "No reforms, No election" ni kauli mbiu za kisiasa, tuwaachie wanasiasa wenyewe. Kujiingiza kuzitafsiri ni kuchagua upande.

View: https://vm.tiktok.com/ZMALVcm3V/

"hoji utekeleze", kwenye jeshi la polisi hakuna neno " hoji", unaloamriwa "huko hawaambiani" unatakiwa ulitekeleze na kama hauwezi kutekeleza acha kazi "huo ni uasi". Watu hua tu awalaumu polisi bila kujua kuwa wanatakiwa kutekeleza mambo ambayo yatawafurahisha ambao wanawapigia saluti.
 
Nani alifyatua RISASI na kumuua AKWILIN AKWILINI pale mkwajuni?
Muriro anamjua!
Anajua alipo kamanda balow?
Umasikini ni mzigo, bsba yake aliwekewa kabomba ka maji nyumbani pake akashukuru! Masikini alikuwa hana uwezo wa kufungua kesi ya madai dhidi ya polisi!
 
Kuna mmoja hapo anataka "kukinukisha"!
Kuna sheria yoyote, katika sheria za Tanzania imepiga marufuku "kukinukisha"?
Sio vzr kuamua kwa mihemko, unamkamata mtu kwa kusema "atakinukisha" mahakamani anakuuliza ni sheria ipi imekataza "kukinukisha" unabaki unatoa macho.
Hizi ni kaulimbiu za kisiasa, tuwaache CCM na CHADEMA wapambane wenyewe.
 
Kuna vitu wakuu wetu wanaviwasilisha kwetu vinatia mashaka juu ya uwezo wao wa kutafsiri sheria na kama wanajua siku vikigeuka asitokee mtu kuwaonea huruma kama wafanyavyo sasa
 
Umasikini ni mzigo, bsba yake aliwekewa kabomba ka maji nyumbani pake akashukuru! Masikini alikuwa hana uwezo wa kufungua kesi ya madai dhidi ya polisi!
Umasikini, Ujinga na Maradhi bado ndio maadui wetu wakubwa Tanzania.
 
Kuelekea uchaguzi mkuu October 29, Jana August 20, kamanda Jumanne Murilo alifanya tathmini ya UHALALI wa kauli mbiu ya "October tunatiki" ya CCM, dhidi ya "No reforms No ection" ya CHADEMA.

Kwa maoni yake, alihitimisha kwa kusema "October tunatiki ni HALALI na "No reforms, No election" ni JINAI. Hoja yake ikiwa hakuna sheria inayoruhusu "No reforms, No election" ingawa hakutuambia pia ni sheria gani imepiga marufuku "No reforms, No election"

Kwenye sheria kuna mambo yanaitwa legal maxim, hii ni misingi ya kutafsiri sheria, mojawapo ukiwa ni “Quod lege non prohibitum, licitum est.” ikimaanisha "What is not prohibited by law is allowed" kwa kiswahili "kama sheria haijakataza, basi imeruhusu"

Ni jambo lililo wazi kuwa kama hakuna sheria inayopiga marufuku "No reforms, No election" basi "No reforms, No election" zimeruhusiwa. Kwanafasi yako kama msimamizi wa sheria kama ukipewa amri ya kuzuia "No reform, No election" hoji utekeleze zuio hilo kwa sheria ipi?

Maoni yangu ni kuwa, kwa watumishi wa umma, ni vyema tukazingatia IMPARTIALITY tunapotekeleza majukumu yetu. "October tunatiki" na "No reforms, No election" ni kauli mbiu za kisiasa, tuwaachie wanasiasa wenyewe. Kujiingiza kuzitafsiri ni kuchagua upande.

View: https://vm.tiktok.com/ZMALVcm3V/

Duuh haya mambo mkuu,yanasikitisha kwa upande mwingine,Mtu akistaafu,akiwa peke yake ndo anajutia ujinga wake!
 
"hoji utekeleze", kwenye jeshi la polisi hakuna neno " hoji", unaloamriwa "huko hawaambiani" unatakiwa ulitekeleze na kama hauwezi kutekeleza acha kazi "huo ni uasi". Watu hua tu awalaumu polisi bila kujua kuwa wanatakiwa kutekeleza mambo ambayo yatawafurahisha ambao wanawapigia saluti.
Mmh! Ina maana polisi akiambiwa, "iba, baka, ua, tukana, n.k" atatekeleza bila kuhoji?
 
"hoji utekeleze", kwenye jeshi la polisi hakuna neno " hoji", unaloamriwa "huko hawaambiani" unatakiwa ulitekeleze na kama hauwezi kutekeleza acha kazi "huo ni uasi". Watu hua tu awalaumu polisi bila kujua kuwa wanatakiwa kutekeleza mambo ambayo yatawafurahisha ambao wanawapigia saluti.
Na kama hatuwezi kutekeleza,Acha kazi,HATARI!
 
U
Kuna sheria yoyote, katika sheria za Tanzania imepiga marufuku "kukinukisha"?
Sio vzr kuamua kwa mihemko, unamkamata mtu kwa kusema "atakinukisha" mahakamani anakuuliza ni sheria ipi imekataza "kukinukisha" unabaki unatoa macho.
Hizi ni kaulimbiu za kisiasa, tuwaache CCM na uCHADEMA wapambane wenyewe.
UKiwa ccm tu hapa nchini tayar uakuwa mpumbavu. Ccm asili yake ni UOVU
 
Tutake radhi comrade, mm ni kada wa CCM, kwenye maudhui haya niliyoyachapisha, au mengine mengi niliyowahi kuyachapisha umegundua upumbavu au uovu wowote?
Watu wabaya, wakifanya ubaya, wahukumiwe kwa ubaya wao, tusianze kutafuta wanatoka chama gani? Tukifanya hivyo itabidi pia tuulize ni wa dini gani, kabila gani, mkoa gani n.k
 
Nani alifyatua RISASI na kumuua AKWILIN AKWILINI pale mkwajuni?
Muriro anamjua!
Anajua alipo kamanda balow?
Majamaa Mungu ayalaaani kwakweli
Aqulilina_Akwilini.jpg
images.jpeg
 
Tuwie radhi comrade, mm ni kada wa CCM, kwenye maudhui haya niliyoyachapisha, au mengine mengi niliyowahi kuyachapisha umegundua upumbavu au uovu wowote?
Watu wabaya, wakifanya ubaya, wahukumiwe kwa ubaya wao, tusianze kutafuta wanatoka chama gani? Tukifanya hivyo itabidi pia tuulize ni wa dini gani, kabila gani, mkoa gani n.k
Ccm asili yake ni uovu na upumbavu.ipo hivi
Makala alinukuliwa akisema CHADEMA kupitia tonetone wanataka kununua EBOLA na MPOX Hii siyo kuleta TAHARUKI??? Ulisikia akikemewwa poppte
Lisu kasema " tutakinukisha" mpaka sasa yupo gerezani. Hadi mufti alikemea na kwqmba matamshi yake yanalrta uvunjifu wa AMANI.
nakuuliza wewe mwana CCM kati ya hizo kauli mbili ipi ilileta TAHARUKI? Kwann makala hajakamatwa???
 
Back
Top Bottom