Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Kuelekea uchaguzi mkuu October 29, Jana August 20, kamanda Jumanne Murilo alifanya tathmini ya UHALALI wa kauli mbiu ya "October tunatiki" ya CCM, dhidi ya "No reforms No ection" ya CHADEMA.
Kwa maoni yake, alihitimisha kwa kusema "October tunatiki ni HALALI na "No reforms, No election" ni JINAI. Hoja yake ikiwa hakuna sheria inayoruhusu "No reforms, No election" ingawa hakutuambia pia ni sheria gani imepiga marufuku "No reforms, No election"
Kwenye sheria kuna mambo yanaitwa legal maxim, hii ni misingi ya kutafsiri sheria, mojawapo ukiwa ni “Quod lege non prohibitum, licitum est.” ikimaanisha "What is not prohibited by law is allowed" kwa kiswahili "kama sheria haijakataza, basi imeruhusu"
Ni jambo lililo wazi kuwa kama hakuna sheria inayopiga marufuku "No reforms, No election" basi "No reforms, No election" zimeruhusiwa. Kwanafasi yako kama msimamizi wa sheria kama ukipewa amri ya kuzuia "No reform, No election" hoji utekeleze zuio hilo kwa sheria ipi?
Maoni yangu ni kuwa, kwa watumishi wa umma, ni vyema tukazingatia IMPARTIALITY tunapotekeleza majukumu yetu. "October tunatiki" na "No reforms, No election" ni kauli mbiu za kisiasa, tuwaachie wanasiasa wenyewe. Kujiingiza kuzitafsiri ni kuchagua upande.
View: https://vm.tiktok.com/ZMALVcm3V/
Umasikini ni mzigo, bsba yake aliwekewa kabomba ka maji nyumbani pake akashukuru! Masikini alikuwa hana uwezo wa kufungua kesi ya madai dhidi ya polisi!Nani alifyatua RISASI na kumuua AKWILIN AKWILINI pale mkwajuni?
Muriro anamjua!
Anajua alipo kamanda balow?
Kuna sheria yoyote, katika sheria za Tanzania imepiga marufuku "kukinukisha"?Kuna mmoja hapo anataka "kukinukisha"!
Huko tusiingie comrade, hatukuwepo labor ward siku anazaliwa.Huyu babu amepunja umri alitakiwa awe amestaafu tangu 2011
Kwamba wazee rika lake hatuwajui? kwanini asipimwe na carbon 14?Huko tusiingie comrade, hatukuwepo labor ward siku anazaliwa.
Umasikini, Ujinga na Maradhi bado ndio maadui wetu wakubwa Tanzania.Umasikini ni mzigo, bsba yake aliwekewa kabomba ka maji nyumbani pake akashukuru! Masikini alikuwa hana uwezo wa kufungua kesi ya madai dhidi ya polisi!
Kuelekea uchaguzi mkuu October 29, Jana August 20, kamanda Jumanne Murilo alifanya tathmini ya UHALALI wa kauli mbiu ya "October tunatiki" ya CCM, dhidi ya "No reforms No ection" ya CHADEMA.
Kwa maoni yake, alihitimisha kwa kusema "October tunatiki ni HALALI na "No reforms, No election" ni JINAI. Hoja yake ikiwa hakuna sheria inayoruhusu "No reforms, No election" ingawa hakutuambia pia ni sheria gani imepiga marufuku "No reforms, No election"
Kwenye sheria kuna mambo yanaitwa legal maxim, hii ni misingi ya kutafsiri sheria, mojawapo ukiwa ni “Quod lege non prohibitum, licitum est.” ikimaanisha "What is not prohibited by law is allowed" kwa kiswahili "kama sheria haijakataza, basi imeruhusu"
Ni jambo lililo wazi kuwa kama hakuna sheria inayopiga marufuku "No reforms, No election" basi "No reforms, No election" zimeruhusiwa. Kwanafasi yako kama msimamizi wa sheria kama ukipewa amri ya kuzuia "No reform, No election" hoji utekeleze zuio hilo kwa sheria ipi?
Maoni yangu ni kuwa, kwa watumishi wa umma, ni vyema tukazingatia IMPARTIALITY tunapotekeleza majukumu yetu. "October tunatiki" na "No reforms, No election" ni kauli mbiu za kisiasa, tuwaachie wanasiasa wenyewe. Kujiingiza kuzitafsiri ni kuchagua upande.
View: https://vm.tiktok.com/ZMALVcm3V/
Mmh! Ina maana polisi akiambiwa, "iba, baka, ua, tukana, n.k" atatekeleza bila kuhoji?"hoji utekeleze", kwenye jeshi la polisi hakuna neno " hoji", unaloamriwa "huko hawaambiani" unatakiwa ulitekeleze na kama hauwezi kutekeleza acha kazi "huo ni uasi". Watu hua tu awalaumu polisi bila kujua kuwa wanatakiwa kutekeleza mambo ambayo yatawafurahisha ambao wanawapigia saluti.
Na kama hatuwezi kutekeleza,Acha kazi,HATARI!"hoji utekeleze", kwenye jeshi la polisi hakuna neno " hoji", unaloamriwa "huko hawaambiani" unatakiwa ulitekeleze na kama hauwezi kutekeleza acha kazi "huo ni uasi". Watu hua tu awalaumu polisi bila kujua kuwa wanatakiwa kutekeleza mambo ambayo yatawafurahisha ambao wanawapigia saluti.
UKiwa ccm tu hapa nchini tayar uakuwa mpumbavu. Ccm asili yake ni UOVUKuna sheria yoyote, katika sheria za Tanzania imepiga marufuku "kukinukisha"?
Sio vzr kuamua kwa mihemko, unamkamata mtu kwa kusema "atakinukisha" mahakamani anakuuliza ni sheria ipi imekataza "kukinukisha" unabaki unatoa macho.
Hizi ni kaulimbiu za kisiasa, tuwaache CCM na uCHADEMA wapambane wenyewe.
Kuna mkubwa mmoja alishiriki kuichakata sheria ya KIKOKOTOO, alipostaafu akakutana nacho ana kwa ana!Duuh haya mambo mkuu,yanasikitisha kwa upande mwingine,Mtu akistaafu,akiwa peke yake ndo anajutia ujinga wake!
Tutake radhi comrade, mm ni kada wa CCM, kwenye maudhui haya niliyoyachapisha, au mengine mengi niliyowahi kuyachapisha umegundua upumbavu au uovu wowote?U
UKiwa ccm tu hapa nchini tayar uakuwa mpumbavu. Ccm asili yake ni UOVU
Majamaa Mungu ayalaaani kwakweliNani alifyatua RISASI na kumuua AKWILIN AKWILINI pale mkwajuni?
Muriro anamjua!
Anajua alipo kamanda balow?
Ccm asili yake ni uovu na upumbavu.ipo hiviTuwie radhi comrade, mm ni kada wa CCM, kwenye maudhui haya niliyoyachapisha, au mengine mengi niliyowahi kuyachapisha umegundua upumbavu au uovu wowote?
Watu wabaya, wakifanya ubaya, wahukumiwe kwa ubaya wao, tusianze kutafuta wanatoka chama gani? Tukifanya hivyo itabidi pia tuulize ni wa dini gani, kabila gani, mkoa gani n.k