Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
hata huyo anayekushtaki kwa kusema utakinukisha, atoe sasa tafsiri ya "kukinukisha"Kuna sheria yoyote, katika sheria za Tanzania imepiga marufuku "kukinukisha"?
Sio vzr kuamua kwa mihemko, unamkamata mtu kwa kusema "atakinukisha" mahakamani anakuuliza ni sheria ipi imekataza "kukinukisha" unabaki unatoa macho.
Hizi ni kaulimbiu za kisiasa, tuwaache CCM na CHADEMA wapambane wenyewe.
Huyo ni Makala, na Makala sio CCM! Kuwaunganisha wana CCM wote kwenye matendo ya Makala sio sawa.Ccm asili yake ni uovu na upumbavu.ipo hivi
Makala alinukuliwa akisema CHADEMA kupitia tonetone wanataka kununua EBOLA na MPOX Hii siyo kuleta TAHARUKI??? Ulisikia akikemewwa poppte
Lisu kasema " tutakinukisha" mpaka sasa yupo gerezani. Hadi mufti alikemea na kwqmba matamshi yake yanalrta uvunjifu wa AMANI.
nakuuliza wewe mwana CCM kati ya hizo kauli mbili ipi ilileta TAHARUKI? Kwann makala hajakamatwa???
Atawafungulia kamusi ya kiswahili mahakamani mtasoma wenyewe kwa sauti na kesi itaishia hapo.hata huyo anayekushtaki kwa kusema utakinukisha, atoe sasa tafsiri ya "kukinukisha"
Huyo mzee ni mpumbavu kabisaKuelekea uchaguzi mkuu October 29, Jana August 20, kamanda Jumanne Murilo alifanya tathmini ya UHALALI wa kauli mbiu ya "October tunatiki" ya CCM, dhidi ya "No reforms No ection" ya CHADEMA.
Kwa maoni yake, alihitimisha kwa kusema "October tunatiki ni HALALI na "No reforms, No election" ni JINAI. Hoja yake ikiwa hakuna sheria inayoruhusu "No reforms, No election" ingawa hakutuambia pia ni sheria gani imepiga marufuku "No reforms, No election"
Kwenye sheria kuna mambo yanaitwa legal maxim, hii ni misingi ya kutafsiri sheria, mojawapo ukiwa ni “Quod lege non prohibitum, licitum est.” ikimaanisha "What is not prohibited by law is allowed" kwa kiswahili "kama sheria haijakataza, basi imeruhusu"
Ni jambo lililo wazi kuwa kama hakuna sheria inayopiga marufuku "No reforms, No election" basi "No reforms, No election" zimeruhusiwa. Kwanafasi yako kama msimamizi wa sheria kama ukipewa amri ya kuzuia "No reform, No election" hoji utekeleze zuio hilo kwa sheria ipi?
Maoni yangu ni kuwa, kwa watumishi wa umma, ni vyema tukazingatia IMPARTIALITY tunapotekeleza majukumu yetu. "October tunatiki" na "No reforms, No election" ni kauli mbiu za kisiasa, tuwaachie wanasiasa wenyewe. Kujiingiza kuzitafsiri ni kuchagua upande.
Sawa kabisa, samaki mmoja akiozaTutake radhi comrade, mm ni kada wa CCM, kwenye maudhui haya niliyoyachapisha, au mengine mengi niliyowahi kuyachapisha umegundua upumbavu au uovu wowote?
Watu wabaya, wakifanya ubaya, wahukumiwe kwa ubaya wao, tusianze kutafuta wanatoka chama gani? Tukifanya hivyo itabidi pia tuulize ni wa dini gani, kabila gani, mkoa gani n.k
Hatuwezi tupa tenga zima la samaki kwasababu ya mmoja aliyeoza kaka.Sawa kabisa, samaki mmoja akioza
Kwani wahenga walishasema,ndege wanaofanana mabawa huruka pamoja.
Unajua maana ya msemaji wa chama wwHatuwezi tupa tenga zima la samaki kwasababu ya mmoja aliyeoza kaka.
Kwenye uchumi huu tulionao, unamtupa alyeoza, watoto wanaendelea kupata mboga.
Mdomo wa msemaji wa chama, hausemi mambo ya chama tu, unasema na mambo yake binafsi. Ikiwa tutasema kila anachosema Makala ni cha chama, vipi kuhusu maongezi yake na mkewe? Nayo yachukuliwe kama kauli za chama?Unajua maana ya msemaji wa chama ww
Bado kuna anayemsikiliza huyu mzee?Kuelekea uchaguzi mkuu October 29, Jana August 20, kamanda Jumanne Murilo alifanya tathmini ya UHALALI wa kauli mbiu ya "October tunatiki" ya CCM, dhidi ya "No reforms No ection" ya CHADEMA.
Kwa maoni yake, alihitimisha kwa kusema "October tunatiki ni HALALI na "No reforms, No election" ni JINAI. Hoja yake ikiwa hakuna sheria inayoruhusu "No reforms, No election" ingawa hakutuambia pia ni sheria gani imepiga marufuku "No reforms, No election"
Kwenye sheria kuna mambo yanaitwa legal maxim, hii ni misingi ya kutafsiri sheria, mojawapo ukiwa ni “Quod lege non prohibitum, licitum est.” ikimaanisha "What is not prohibited by law is allowed" kwa kiswahili "kama sheria haijakataza, basi imeruhusu"
Ni jambo lililo wazi kuwa kama hakuna sheria inayopiga marufuku "No reforms, No election" basi "No reforms, No election" zimeruhusiwa. Kwanafasi yako kama msimamizi wa sheria kama ukipewa amri ya kuzuia "No reform, No election" hoji utekeleze zuio hilo kwa sheria ipi?
Maoni yangu ni kuwa, kwa watumishi wa umma, ni vyema tukazingatia IMPARTIALITY tunapotekeleza majukumu yetu. "October tunatiki" na "No reforms, No election" ni kauli mbiu za kisiasa, tuwaachie wanasiasa wenyewe. Kujiingiza kuzitafsiri ni kuchagua upande.
Unaendelea kufaidi mgodi wa makaa ya mawe kweli CCM inawenyewe.Hatuwezi tupa tenga zima la samaki kwasababu ya mmoja aliyeoza kaka.
Kwenye uchumi huu tulionao, unamtupa alyeoza, watoto wanaendelea kupata mboga.
Hivi ni kweli kwamba wana CCM waliamua kwa kauli moja kuwa sasa mgodi wa makaa ya mawe, apewe Rostam Azizi? Tusiwabebeshe watu mizigo isiyokuwa yao, Rostam Azizi na aliyempa mgodi, wanajua walivyopeana, na CCM haikuwa sehemu ya hiyo biashara.Unaendelea kufaidi mgodi wa makaa ya mawe kweli CCM inawenyewe.
Walioishikilia ccm ndiyo wenye ccm yao na kauli zao ndiyo kauli ya ccm, hawataitisha mkutano wa wanachama wote wa ccm Ibadakuli au Kazuramimba kuwauliza kuwa jamanieee tunaomba tumpe Rostam makaa ya mawe hapana utasubiri sana, wenye ccm wanampa wewe unaachiwa kuimba " ccm mbele kwa mbeleeeee"Hivi ni kweli kwamba wana CCM waliamua kwa kauli moja kuwa sasa mgodi wa makaa ya mawe, apewe Rostam Azizi? Tusiwabebeshe watu mizigo isiyokuwa yao, Rostam Azizi na aliyempa mgodi, wanajua walivyopeana, na CCM haikuwa sehemu ya hiyo biashara.
Tutake radhi comrade, mm ni kada wa CCM, kwenye maudhui haya niliyoyachapisha, au mengine mengi niliyowahi kuyachapisha umegundua upumbavu au uovu wowote?
Watu wabaya, wakifanya ubaya, wahukumiwe kwa ubaya wao, tusianze kutafuta wanatoka chama gani? Tukifanya hivyo itabidi pia tuulize ni wa dini gani, kabila gani, mkoa gani n.k
Hizi akili ndo zinamletea mama aibu Kila wakatiMdomo wa msemaji wa chama, hausemi mambo ya chama tu, unasema na mambo yake binafsi. Ikiwa tutasema kila anachosema Makala ni cha chama, vipi kuhusu maongezi yake na mkewe? Nayo yachukuliwe kama kauli za chama?
Tujifunze kwa wakatoliki ambao ndio wenye hii dhana ya Baba Mtakatifu kuwa msemaji wao. Kauli ya Baba Mtakatifu itakuwa ni kauli ya kanisa endapo tu ataitoa "Ex Cathedra" nje ya hapo zinabaki kuwa ni kauli zake binafsi.
Kauli za Makala ambazo hazina baraka za vikao vya chama, zibaki kuwa ni kauli zake binafsi, na yy mwenyewe atawajibika nazo.
Hivi kwenye kamusi ya Kiswahili inasema kukinukisha ni Uhaini kama kamusi tu ya Kiswahili kukinukisha haitambuki kama ni Uhaini basi kesi haina mashikoKuna sheria yoyote, katika sheria za Tanzania imepiga marufuku "kukinukisha"?