mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Ila haina evidence ni maneno matupu wananchi watajuaje kama ni taarifa za ukweli au ni porojo tutaarifa ya kamanda imejitosheleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila haina evidence ni maneno matupu wananchi watajuaje kama ni taarifa za ukweli au ni porojo tutaarifa ya kamanda imejitosheleza
Ficha ujinga basi.umefikiri kwa kutumia kariooo
atangazwe yeye ni nani
Wamepotosha na kulisingizia jeshi letu uovu na uchonganishi kwa wananchi, hao mawakili waende kwanza pale Buguruni kupata ripoti ndipo waanze utetezi wao! / wapo wafanyabiashara wanaokesha pale, ukifika tu picha yote unaipata chap!Kama watakamatwa,wanahitajlka mawakili nguli wa kuwatetea!
Mara nyingi raia wema huwajulisha polisi, nao hufika haraka sana! Kujaribu kumuokoa mtanzania ambaye amepata madhara.Ni lini na wapi jeshi la polisi limewahi kutangaza limeokota maiti itokanayo na ajali nchi hii?
Sijawahi kusikia au kuona!
Acha kujipendekeza mnyama wewe jeshi lenu lwewe na naniWamepotosha na kulisingizia jeshi letu uovu na uchonganishi kwa wananchi, hao mawakili waende kwanza pale Buguruni kupata ripoti ndipo waanze utetezi wao! / wapo wafanyabiashara wanaokesha pale, ukifika tu picha yote unaipata chap!
Kwani ile ya Malisa una evidence ?Ila haina evidence ni maneno matupu wananchi watajuaje kama ni taarifa za ukweli au ni porojo tu
wakipewaga na Tshirt zao zile nyeupe zenye mchoro wa viboksi vya kura kifuani pamoja na kofia nyeupe wanavimba mtaani na kujikutaga watu muhimu wenyewe😀😀😀😀😀😀😀Mleta mada eti ni mwanaume Yaani midudu kama hii ndo imo kwenye mfumo mwekezaji akija anabeba Mali anaondoka anatuachia madeni na mijitu IPO inapumua kote kote mdomoni na kule kwingine kuisubir chadema lakini mwekezaji anakwiba Mali mchana kweupeee kazi yao ni kusimamia wapiga sahihi wapige sahihi wao wanaambulia per diem na supu ya mapupu asubuhi kazi ni majungu tu kama hili dude lilileta hii mada
Halafu Polisi wanaita press kutangaza wameokota maiti ya ajali?Mara nyingi raia wema huwajulisha polisi, nao hufika haraka sana! Kujaribu kumuokoa mtanzania ambaye amepata madhara.
-Kwa hiyo undependa polisi waseme baada ya kupigwa simu na raia wema!, walifika haraka!, Eneo la tukio! -Halafu Polisi wanaita press kutangaza wameokota maiti ya ajali?
Hata wale wanaopelekwa MOI na polisi wakiwa taabani,wakipata nafuu ni MOI ndiyo hutangaza kutafuta ndugu zao hasa wanaopoteza kumbukumbu ila wakifia hospital hata MOI hawatangazi kutafuta ndugu wa marehemu wasiotambulika.
Vipi kuhusu Mwenyekiti wetu wa Uvccm Kagera anahojiwa lini?Wamepotosha na kulisingizia jeshi letu uovu na uchonganishi kwa wananchi, hao mawakili waende kwanza pale Buguruni kupata ripoti ndipo waanze utetezi wao! / wapo wafanyabiashara wanaokesha pale, ukifika tu picha yote unaipata chap!
Huo uoga wako ni wa mwanamke bikra, polisi sio mahakamani na kwa vyovyote hujawai kukaa mahabusu nyie ndiyo siku mkifika mahabusu mnakuwa mboga ya wengine kwasababu ya hofuKupotosha na kugombanisha serikali kwa wananchi ili waichukie kwa kuandika habari za uongo sasa umeyatimba, Kamanda Muliro amekuita pale central akachukue maelezo yako na akupumzishe angalau wiki ili upunguze uzito uliokuwa nao maana kila ukishauriwa na Prof Janab hutaki, sasa Muliro atakusaidia kupungua mwili.
Kule unakwenda kukutana na wanaume haswa pale mahabusu, wakikuuliza umefuata nini waambie ulifanya jambo la hatari, usije kuwaambia masela mahabusu kuwa umekamatwa kwa kosa la uzushi, aisee utatoka vibaya huko mahabusu.
Leo nzima nasikia unamsumbua Kibatala akakusaidie, mnatukana na kuzusha halafu yakiwakuta mnaanza kulia kulia.
Kamanda Muliro nakuom sana huyo jamaa mdake ijumaa akae humo had j3, shenzi kabisa
Jeshi lenu pia limewahi kuzingiziwa kumuua mfanyabiashara wa madini mtwaraWamepotosha na kulisingizia jeshi letu uovu na uchonganishi kwa wananchi, hao mawakili waende kwanza pale Buguruni kupata ripoti ndipo waanze utetezi wao! / wapo wafanyabiashara wanaokesha pale, ukifika tu picha yote unaipata chap!
Hizo akili wanazo basi? ,hawa hata wanapodanganya huwa akili zinakuwa off line hawafikirii ninauhakika ukienda pale amana getini huwezi kuona kuna maiti ilihamishwa kwenda kilwa Road, na huwezi kuta taarifa hiyo mortuarySawa.baada ya kumchukua na kumpeleka hospital akiwa maiti je polisi walitangaza wapi kuwa kuna mtu kagongwa na gari na amefariki. Kwanini walikaa kimya?
Mtu anaongea unamuoana kabissa anapotosha yeye ila anasema wengine wanapotoshaMarehemu wangekuwa wanauwezo wa kuzinduka hata kwa dakika na kushuhudia kilichowaua sijui kwa suala hili ndugu murilo angelficha wali hiyo sura yake mbaya kama ya hyena
Hii movie wameicheza vibaya, ukifuatilia mwezi huu wa nne sijaona vyombo vikiripoti ajari buguruni kwamba hiyo ajari haikuwa na umuhimu?, jeshi la polisi lina vibaka,taarifa yake hajasema ni tarehe na muda ilitokea ajali hiyo, na Ni lini maiti ilienda amana kisha kilwa.Wamepotosha na kulisingizia jeshi letu uovu na uchonganishi kwa wananchi, hao mawakili waende kwanza pale Buguruni kupata ripoti ndipo waanze utetezi wao! / wapo wafanyabiashara wanaokesha pale, ukifika tu picha yote unaipata chap!