PostGE2025 Kamanda Muliro : Tusishabikie vurugu, Nchi hii ni yetu. Vurugu zina gharama

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi

Akizungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo, Ijumaa Desemba 05.2025 jijini Dar es Salaam, SACP Muliro amesema vurugu hazipaswi hata kujaribiwa kwani zina gharama

SACP Muliro ametoa wito kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla wake kuhakikisha wanaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
 
Twajua Muliro na mafwele hawafi hao. Hata mupige bomu mwapoteza muda. Hata mkewe na watoto hawafi wale. Nye hamuoni waua wawenzao
 
😁😁😁

Mbona kama amekuwa shemasi hivi zile kauli za kibabe zimetoweka yaweza kukuta hata yeye hafurahii na kile kilicho fanyika ila ndio hivyo tena system ime muweka mfukoni
Aliombaga damu lita tano mbeya 2020 naona hapa Dar wamempa bwawa la damu
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi

Akizungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo, Ijumaa Desemba 05.2025 jijini Dar es Salaam, SACP Muliro amesema vurugu hazipaswi hata kujaribiwa kwani zina gharama

SACP Muliro ametoa wito kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla wake kuhakikisha wanaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
Mungu Mulilo, we yako umemaliza umelaza wa kutosha. Hakuna atakayekusikia.
 
Yeye SI alikuwa anamtetea mwanae ngoja akumbane na Gen Z, halafu waandishi tunaowatambua ni Dw, BBC, CNN, Al Jazeera na vile vya Kenya hao ni wengine ni waandishi wao
.
 
Back
Top Bottom