PostGE2025 Kamanda Muliro : Tusishabikie vurugu, Nchi hii ni yetu. Vurugu zina gharama

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi

Akizungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo, Ijumaa Desemba 05.2025 jijini Dar es Salaam, SACP Muliro amesema vurugu hazipaswi hata kujaribiwa kwani zina gharama

SACP Muliro ametoa wito kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla wake kuhakikisha wanaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
Leo vile vi mikwala muzi vimeenda wapi?
"Angle waliobanwa hawa watu sio nzuri kabisa"
 
Hi I wahariri na waandishi wa habari ndiyo wanawatuma wananchi kudai HAKI zinazosemwa? Kwa nini hawataki kugusia mahali Chanzo cha changamoto kilipo?
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi

Akizungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo, Ijumaa Desemba 05.2025 jijini Dar es Salaam, SACP Muliro amesema vurugu hazipaswi hata kujaribiwa kwani zina gharama

SACP Muliro ametoa wito kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla wake kuhakikisha wanaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
Aache kutumia askari wake kuteka na kutuua.
 
Na nyie wanahabari mkileta useng* mkaegemea upande wa serikali nadala ya kubalansi na kusema ukweli, tutawatembelea.
Ofisi zenu na makazi yenu tunazijua zilipo
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi

Akizungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo, Ijumaa Desemba 05.2025 jijini Dar es Salaam, SACP Muliro amesema vurugu hazipaswi hata kujaribiwa kwani zina gharama

SACP Muliro ametoa wito kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla wake kuhakikisha wanaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
Mbona kawa mpole ghafla siku hizi sisikii utachakaa kama mbwa koko
 
Asije kusema hana taarifa.

Thread 'Gen Z wakabidhi barua rasmi ya notisi ya maandamano ya Desemba 9 kwa Kamanda Muliro' Gen Z wakabidhi barua rasmi ya notisi ya maandamano ya Desemba 9 kwa Kamanda Muliro
 
😁😁😁

Mbona kama amekuwa shemasi hivi zile kauli za kibabe zimetoweka yaweza kukuta hata yeye hafurahii na kile kilicho fanyika ila ndio hivyo tena system ime muweka mfukoni
Wao km watanganyika, inawauma ndugu zao kuuawa vilee, ni vile hawana namna.
Hata hawa polisi na wajeda huku mtaani tunawaona wakijutiaa.
 
Ndio wafanye mambo Sasa Wasikubali kuendeshwa kama mang'ombe
 
Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi
Hili alilijuwa tangu lini?

Tanzania ingekuwa yetu sote msingewaua waTanzania kama mlivyofanya.

Tanzania ingekuwa ni yetu sote Samia na Genge lake wasingelazimisha watawale kwa nguvu.

Kama anataka Tanzania iwe yetu sote, amwambie Samia atoke madarakani mara moja ili waTanzania wawachague viongozi wanaowataka wao wawaongoze

Inaeleweka kichwani hamna kitu, kwa hiyo Mulilo anajisemea tu maneno asiyoyaamini mwenyewe
 
Back
Top Bottom