Tatizo linaanzia hapa. Tanzania hatuna rais, maana October 29 hakukuwa na uchaguzi.na Rais
Afande kaacha ngebe sasa.. akili zime mkaa sawaNa ili kuepusha gharama inabidi waue
Aliombaga damu lita tano mbeya 2020 naona hapa Dar wamempa bwawa la damuπππ
Mbona kama amekuwa shemasi hivi zile kauli za kibabe zimetoweka yaweza kukuta hata yeye hafurahii na kile kilicho fanyika ila ndio hivyo tena system ime muweka mfukoni
Muuaji ambaye hajalipia muuaji wake,Afande kaache ngebe sasa.. akili zime mkaa sawa
View attachment 3511577
Father utoto wangu nimetesa sana mbwa namna hiiAfande kaache ngebe sasa.. akili zime mkaa sawa
View attachment 3511577
Mungu Mulilo, we yako umemaliza umelaza wa kutosha. Hakuna atakayekusikia.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi
Akizungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo, Ijumaa Desemba 05.2025 jijini Dar es Salaam, SACP Muliro amesema vurugu hazipaswi hata kujaribiwa kwani zina gharama
SACP Muliro ametoa wito kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla wake kuhakikisha wanaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
Unawatesaje?kama huyo jamaa kwenye videoFather utoto wangu nimetesa sana mbwa namna hii