Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,411
- 2,700
Leo vile vi mikwala muzi vimeenda wapi?Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi
Akizungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo, Ijumaa Desemba 05.2025 jijini Dar es Salaam, SACP Muliro amesema vurugu hazipaswi hata kujaribiwa kwani zina gharama
SACP Muliro ametoa wito kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla wake kuhakikisha wanaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
Aache kutumia askari wake kuteka na kutuua.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi
Akizungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo, Ijumaa Desemba 05.2025 jijini Dar es Salaam, SACP Muliro amesema vurugu hazipaswi hata kujaribiwa kwani zina gharama
SACP Muliro ametoa wito kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla wake kuhakikisha wanaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
Hapo mbwa unafanya kama anapiga nyeto then ananogewa wengine Hadi hupizi (kumwaga)Unawatesaje?kama huyo jamaa kwenye video
AiseπHapo mbwa unafanya kama anapiga nyeto then ananogewa wengine Hadi hupizi (kumwaga)
Mbona kawa mpole ghafla siku hizi sisikii utachakaa kama mbwa kokoKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi
Akizungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo, Ijumaa Desemba 05.2025 jijini Dar es Salaam, SACP Muliro amesema vurugu hazipaswi hata kujaribiwa kwani zina gharama
SACP Muliro ametoa wito kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla wake kuhakikisha wanaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
Asije kusema hana taarifa.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi
Akizungumza kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo, Ijumaa Desemba 05.2025 jijini Dar es Salaam, SACP Muliro amesema vurugu hazipaswi hata kujaribiwa kwani zina gharama
SACP Muliro ametoa wito kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla wake kuhakikisha wanaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha nchi inaendelea kuwa salama.
Wao km watanganyika, inawauma ndugu zao kuuawa vilee, ni vile hawana namna.πππ
Mbona kama amekuwa shemasi hivi zile kauli za kibabe zimetoweka yaweza kukuta hata yeye hafurahii na kile kilicho fanyika ila ndio hivyo tena system ime muweka mfukoni
Ndio wafanye mambo Sasa Wasikubali kuendeshwa kama mang'ombeWao km watanganyika, inawauma ndugu zao kuuawa vilee, ni vile hawana namna.
Hata hawa polisi na wajeda huku mtaani tunawaona wakijutiaa.
Leo ndiyo huyo Jumatano Murilo anajua kwamba nchi ni ya wote. Mbwa wewe Murilo, mshenzi na muuaji. Mnapaswa mpelekwe The Hague wewe na mama yako.Leo vile vi mikwala muzi vimeenda wapi?
"Angle waliobanwa hawa watu sio nzuri kabisa"
Hili alilijuwa tangu lini?Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na kwamba kwa pamoja tusisabikie vurugu zitakazopelekea kuharibu nchi
Kwa kwelii.Ndio wafanye mambo Sasa Wasikubali kuendeshwa kama mang'ombe
Mambo π₯°Kwa kwelii.