Kamanda Muroto kutoka RPC mpaka Security Project Manager, Tembo Nickel

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Life linamambo mengi. Huyu Afande Muroto alikuwa RPC wa Dodoma at Magu time now karudi kuwa Project Security Manager- Tembo Nickel.💪🏼

IMG-20231101-WA0017.jpg
 
Kastaafu akiwa ACP,SACP au CP!

Wenzie wanatimkia siasani wanamiliki mijengo Seaview huko.
 
Pamoja na maneno yake makali, huyu Askari nilimpenda sana. Yaani unaona kabisa kwamba huyu mtu anachukia uhalifu kutoka rohoni, hapendi ujinga.
Niliwahi kumpenda sana pia TIBAIGANA; sijui yuko wapi sasa hivi
Ukimuona Muroto, unajua umeona askari; ukimuona Muliro, unajua umemuona askari
 
Tibaigana alijaribu ubunge akakosa aakajenga maguest house sehemu ambayo si sahihi ila bila shaka bado ukwasi anao.
 
Hapo mshahara mmoja ni sawa na ile ya polisi miezi sita. Atastaafu vizuri. Acha wivu bro.
 
Pamoja na maneno yake makali, huyu Askari nilimpenda sana. Yaani unaona kabisa kwamba huyu mtu anachukia uhalifu kutoka rohoni, hapendi ujinga.
Niliwahi kumpenda sana pia TIBAIGANA; sijui yuko wapi sasa hivi
Ukimuona Muroto, unajua umeona askari; ukimuona Muliro, unajua umemuona askari
Tibaigana Mzee wa Heineken na Siga
 
Back
Top Bottom