Kamanda Muroto kutoka RPC mpaka Security Project Manager, Tembo Nickel

Kastaafu akiwa ACP,SACP au CP!

Wenzie wanatimkia siasani wanamiliki mijengo Seaview huko.
 
Pamoja na maneno yake makali, huyu Askari nilimpenda sana. Yaani unaona kabisa kwamba huyu mtu anachukia uhalifu kutoka rohoni, hapendi ujinga.
Niliwahi kumpenda sana pia TIBAIGANA; sijui yuko wapi sasa hivi
Ukimuona Muroto, unajua umeona askari; ukimuona Muliro, unajua umemuona askari
 
Tibaigana alijaribu ubunge akakosa aakajenga maguest house sehemu ambayo si sahihi ila bila shaka bado ukwasi anao.
 
Hapo mshahara mmoja ni sawa na ile ya polisi miezi sita. Atastaafu vizuri. Acha wivu bro.
 
Tibaigana Mzee wa Heineken na Siga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…