Kamanda mwandamizi hamas wajuta kufanya shambulizi Oktoba 7, 2023 dhidi ya Israel , matokeo yake yamekuwa mabaya na wapo tayari kusalimisha silaha

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Afisa wa ngazi ya juu wa Hamas asema hangeunga mkono mashambulizi ya Oktoba 7 ikiwa angejua madhara kwa Gaza

Mwanachama wa ngazi ya juu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, Mousa Abu Marzouk, amesema hangeunga mkono uvamizi wa tarehe 7 Oktoba 2023 katika kusini mwa Israel ikiwa angejua madhara ambayo yangewapata watu wa Ukanda wa Gaza.

Katika mashambulizi hayo, maelfu ya wanamgambo wa Hamas waliwaua watu 1,200 na kuwateka nyara watu 251.
=============

Senior Hamas official says he wouldn’t have backed Oct. 7 attacks if he knew the consequences for Gaza

Senior Hamas politburo member Mousa Abu Marzouk says he would not have backed the October 7, 2023, invasion of southern Israel if he had known what the consequences would be for the Gaza Strip after thousands of Hamas-led terrorists slaughtered 1,200 people and took 251 hostages.

“If it was expected that what happened would happen, there wouldn’t have been October 7,” he says in an interview with The New York Times.

The Qatar-based official says Hamas’s survival was a “kind of victory” but ultimately, Hamas cannot claim to have defeated Israel.

“We’re talking about a party that lost control of itself and took revenge against everything,” says Abu Marzouk of Israel. “That is not a victory under any circumstances.”

He also tells the Times that Hamas is ready to consider proposals for disarmament: “We are ready to speak about every issue. Any issue that is put on the table, we need to speak about it.
 
Kiingereza kina kupiga kama sio kiingereza ushabiki unakusumbua.
 
Mapinduzi hayahitaji mtu muoga muoga kama kashindwa kuendelea arudishe tu fomu damu mpya vijana el20 wako kwenye mstari kuendeleza harakati
 
Wadau hamjamboni nyote?

Afisa wa ngazi ya juu wa Hamas asema hangeunga mkono mashambulizi ya Oktoba 7 ikiwa angejua madhara kwa Gaza

Mwanachama wa ngazi ya juu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, Mousa Abu Marzouk, amesema hangeunga mkono uvamizi wa tarehe 7 Oktoba 2023 katika kusini mwa Israel ikiwa angejua madhara ambayo yangewapata watu wa Ukanda wa Gaza.

Katika mashambulizi hayo, maelfu ya wanamgambo wa Hamas waliwaua watu 1,200 na kuwateka nyara watu 251.
=============

Senior Hamas official says he wouldn’t have backed Oct. 7 attacks if he knew the consequences for Gaza

Senior Hamas politburo member Mousa Abu Marzouk says he would not have backed the October 7, 2023, invasion of southern Israel if he had known what the consequences would be for the Gaza Strip after thousands of Hamas-led terrorists slaughtered 1,200 people and took 251 hostages.

“If it was expected that what happened would happen, there wouldn’t have been October 7,” he says in an interview with The New York Times.

The Qatar-based official says Hamas’s survival was a “kind of victory” but ultimately, Hamas cannot claim to have defeated Israel.

“We’re talking about a party that lost control of itself and took revenge against everything,” says Abu Marzouk of Israel. “That is not a victory under any circumstances.”

He also tells the Times that Hamas is ready to consider proposals for disarmament: “We are ready to speak about every issue. Any issue that is put on the table, we need to speak about it.
Mnamezeshwa propaganda mnameza tu unawajua Hamas wewe? Wasome hapa chini wanakanusha huo uharo😄

View: https://x.com/suppressednws/status/1894150163750687184?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wadau hamjamboni nyote?

Afisa wa ngazi ya juu wa Hamas asema hangeunga mkono mashambulizi ya Oktoba 7 ikiwa angejua madhara kwa Gaza

Mwanachama wa ngazi ya juu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, Mousa Abu Marzouk, amesema hangeunga mkono uvamizi wa tarehe 7 Oktoba 2023 katika kusini mwa Israel ikiwa angejua madhara ambayo yangewapata watu wa Ukanda wa Gaza.

Katika mashambulizi hayo, maelfu ya wanamgambo wa Hamas waliwaua watu 1,200 na kuwateka nyara watu 251.
=============

Senior Hamas official says he wouldn’t have backed Oct. 7 attacks if he knew the consequences for Gaza

Senior Hamas politburo member Mousa Abu Marzouk says he would not have backed the October 7, 2023, invasion of southern Israel if he had known what the consequences would be for the Gaza Strip after thousands of Hamas-led terrorists slaughtered 1,200 people and took 251 hostages.

“If it was expected that what happened would happen, there wouldn’t have been October 7,” he says in an interview with The New York Times.

The Qatar-based official says Hamas’s survival was a “kind of victory” but ultimately, Hamas cannot claim to have defeated Israel.

“We’re talking about a party that lost control of itself and took revenge against everything,” says Abu Marzouk of Israel. “That is not a victory under any circumstances.”

He also tells the Times that Hamas is ready to consider proposals for disarmament: “We are ready to speak about every issue. Any issue that is put on the table, we need to speak about it.

Israel ni kitu ingine
 
Back
Top Bottom