IDF imewaangamiza makamanda wa polisi wa Gaza Murid Farjallah na naibu wake Yunus al-Masraf kufuatia shambulio dhidi ya vikosi vya usalama huko Deir al-Balah, katikati mwa Gaza.View attachment 3293307
Jamaa wana raha sana unapiga show halafu unashushia HeinekenWamewahishwa kwa mabikira
Sheitwan kajua kujikamatia makobazi.Wamewahishwa kwa mabikira
Halafu bure, hakuna na "tuma na ya kutolea"Jamaa wana raha sana unapiga show halafu unashushia Heineken
Hapo jumla ya mabikira 144 wanaenda kugaiwa kwa watu wawili tu? DaaaahIDF imewaangamiza makamanda wa polisi wa Gaza Murid Farjallah na naibu wake Yunus al-Masraf kufuatia shambulio dhidi ya vikosi vya usalama huko Deir al-Balah, katikati mwa Gaza.View attachment 3293307
Aaaaiisee! Ila uislam raha sana. Ndo maana Hamas kang'ang'ania maiti za wayahudiHalafu bure, hakuna na "tuma na ya kutolea"
Kuna mmoja ananyooka kama kamba ya manila.
Nyanebe! Andamana basi bageshi. Mhola mhola ahene koi? Ulehe? Au upo gazaIsraeli yameua vipenzi vyetu Wapalastain.
Nipo hapa Kijereshi nkoi.Niache niwalilie vipenzi vyetu huku natafuna michembe.Nyanebe! Andamana basi bageshi. Mhola mhola ahene koi? Ulehe? Au upo gaza
Daaah! Kijereshi tented camp.. hahaha! Ukitoka lamadi kabla hujafika daraja la Lubana. Nakupitia hapo twende Nyamswa nilizaa na muikizu mmoja nikiwa nasoma usabatoni Ikizu high schoolNipo hapa Kijereshi nkoi.Niache niwalilie vipenzi vyetu huku natafuna michembe.
Yeah!Itabidi tupitie ya Nyakanga,Pida hadi Kiabakari wakati wa kurudi.Nawapigia simu waandae mkutira.Daaah! Kijereshi tented camp.. hahaha! Ukitoka lamadi kabla hujafika daraja la Lubana. Nakupitia hapo twende Nyamswa nilizaa na muikizu mmoja nikiwa nasoma usabatoni Ikizu high school
Napitia Short cut siendi mpaka kiabakari kwenye wachuuzi wa ndizi na karanga kwenye madirisha ya bus...nimegeuzia hapa manyamanyama bunda kwao wassira ngoja nipitie njia ya ushashiYeah!Itabidi tupitie ya Nyakanga,Pida hadi Kiabakari wakati wa kurudi.Nawapigia simu waandae mkutira.
Haina hatari.Tukutane Nyakiswa.Napitia Short cut siendi mpaka kiabakari kwenye wachuuzi wa ndizi na karanga kwenye madirisha ya bus...nimegeuzia hapa manyamanyama bunda kwao wassira ngoja nipitie njia ya ushashi
Yaani unaenda kwa mungu ukiwa na uhakika wa kuipiga tena kila siku bila kuweka kodi ya meza, halafu sio moja. Kwa siku umewekewa bajeti ya kuzipitia kama 70 hivi, halafu 🍸 🍷 🍸 na 🍺 🍻 🍺 unachota mtoni utakavyo. Sina hakika ukilewa kama utaruhusiwa kutukanaAaaaiisee! Ila uislam raha sana. Ndo maana Hamas kang'ang'ania maiti za wayahudi