Kamanda na naibu wa polisi huko Gaza waangamizwa!!

Kamanda na naibu wa polisi huko Gaza waangamizwa!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
IDF imewaangamiza makamanda wa polisi wa Gaza Murid Farjallah na naibu wake Yunus al-Masraf kufuatia shambulio dhidi ya vikosi vya usalama huko Deir al-Balah, katikati mwa Gaza.
IMG_2309.jpeg
 
Daaah! Kijereshi tented camp.. hahaha! Ukitoka lamadi kabla hujafika daraja la Lubana. Nakupitia hapo twende Nyamswa nilizaa na muikizu mmoja nikiwa nasoma usabatoni Ikizu high school
Yeah!Itabidi tupitie ya Nyakanga,Pida hadi Kiabakari wakati wa kurudi.Nawapigia simu waandae mkutira.
 
Aaaaiisee! Ila uislam raha sana. Ndo maana Hamas kang'ang'ania maiti za wayahudi
Yaani unaenda kwa mungu ukiwa na uhakika wa kuipiga tena kila siku bila kuweka kodi ya meza, halafu sio moja. Kwa siku umewekewa bajeti ya kuzipitia kama 70 hivi, halafu 🍸 🍷 🍸 na 🍺 🍻 🍺 unachota mtoni utakavyo. Sina hakika ukilewa kama utaruhusiwa kutukana
 
Back
Top Bottom