Kamanda na naibu wa polisi huko Gaza waangamizwa!!

Daaah! Kijereshi tented camp.. hahaha! Ukitoka lamadi kabla hujafika daraja la Lubana. Nakupitia hapo twende Nyamswa nilizaa na muikizu mmoja nikiwa nasoma usabatoni Ikizu high school
Yeah!Itabidi tupitie ya Nyakanga,Pida hadi Kiabakari wakati wa kurudi.Nawapigia simu waandae mkutira.
 
Yeah!Itabidi tupitie ya Nyakanga,Pida hadi Kiabakari wakati wa kurudi.Nawapigia simu waandae mkutira.
Napitia Short cut siendi mpaka kiabakari kwenye wachuuzi wa ndizi na karanga kwenye madirisha ya bus...nimegeuzia hapa manyamanyama bunda kwao wassira ngoja nipitie njia ya ushashi
 
Aaaaiisee! Ila uislam raha sana. Ndo maana Hamas kang'ang'ania maiti za wayahudi
Yaani unaenda kwa mungu ukiwa na uhakika wa kuipiga tena kila siku bila kuweka kodi ya meza, halafu sio moja. Kwa siku umewekewa bajeti ya kuzipitia kama 70 hivi, halafu 🍸 🍷 🍸 na 🍺 🍻 🍺 unachota mtoni utakavyo. Sina hakika ukilewa kama utaruhusiwa kutukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…