Kamanda Sirro tuhakikishie Usalama wa Raia wema wakati wa mapokezi ya Tundu Lissu

Msiba ni wa ccm, hapa tunazungumzia ujio wa mwanacdm aliye hai.
Aliyekwambia Msiba ni wa CCM peke yake nani? Boss wako Mnyika mwenyewe kamlilia, Zitto kamlilia, bado wewe unaleta UPOPOMA wako hapa
 
Aliyekwambia Msiba ni wa CCM peke yake nani? Boss wako Mnyika mwenyewe kamlilia, Zitto kamlilia, bado wewe unaleta UPOPOMA wako hapa

Zito na Mnyika lazima wamlilie, lakini haiondoi ukweli kuwa wanamlilia mwanaccm, na wala sio kosa kumlilia mwanaccm.
 
Ushoga ni Nyege zako tu, hakuna anayekulazimisha. Ww mke wako watu wanajipigia mpaka lile tundu mashalaah, kwani kuna mwanasiasa yoyote kamuagiza hayo?
huy kichwa chake kimejaa mambo ya kujamiana tuu
 
Mapokezi ya Raisi Mtarajiwa Tundu Antipas Lissu haitaji mwongozo wa Polisi. Chadema na wananchi tumejipanga vizuri, tutampokea kwa amani bila shida yeyote kama alivyopokelewa Hussein Mwinyi Unguja na Pemba majuzi hapa.
There is no CHIBA president under the sun
 
yaani hawa maccm hata uwape nini wamakaa ma machuki yao bila sababu
 
Lissu ndo nani kwenye hii nchi?.
kwanza akifika amalizane kwanza na mihimili ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…