Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Miongoni mwa makamanda muhimu Israel iliotangaza kuwaua ni pamoja na Mohammed Deif na mwenzake Hussein Fayyad aliyetajwa kama mtaalamu wa kutengeneza makombora ya Hamas .
Huku majaaliwa ya Mohammed Deif yakiwa bado hayajathibitika, mwenzake Hussein Fayyad ameendelea kuonekana kwenye mitaa ya Gaza akiwa na vikosi vya Hamas akishiriki makabidhiano ya mateka.
Vikosi vya IDF vilitangaza kumuua Hussein mnamo mwezi Mei mwaka jana ndani ya mahandaki kwenye kambi ya Jabalia kaskazini ya Gaza.
Baada ya kuona video ikimuonesha Hussein jeshi la Israel limetoa taarifa ya kukubali kuwa taarifa zake za kientelijinsia kuhusuana naye zilikuwa na kasoro.