Kamanda wa Hezbollah huko Lebanon ya kusini, Mohamed Hussein Ramal auawa kwa shambulizi la ndege za Jeshi la Israel

Kamanda wa Hezbollah huko Lebanon ya kusini, Mohamed Hussein Ramal auawa kwa shambulizi la ndege za Jeshi la Israel

Attachments

  • Screenshot_20240311_133144_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20240311_133144_Instagram Lite.jpg
    323.4 KB · Views: 1
  • 2021-06-02.jpg
    2021-06-02.jpg
    42.4 KB · Views: 4
HUYU KAMA N HIVI TULICHOSOMA ANA KULA BIKIRA 74 X 4 AJATUSUMBUA
 
Hii week end ni tamuuu...yaani ngoje niaupange mchepuko wangu japo nae ni mke wa mtu. Aaaaaiiiseeee huku Simba na Yangu huku huku Hezbollah huku Hamas.
Muda wa mpira mnachomoa na kuchomeka mpira ukisha kila mtu kivyakeee vyake
 
Hizbollah waliwahiwa kabla hawajatekeleza mpango wao. Wamefyekwa wengi Sana.
Waziri Mkuu wa Lebanon amesema Ayatolah asiingilie mambo ya ndani ya Lebanon 🇱🇧 hiyo ni kauli muhimu sana.

Inaonyesha kuwa Walebanon wanaanza kuamka na kukataa Nchi yao kutumika kama Proxy safi sana.
 
Kuna Pro Hamas na Hezbollah mmoja hapa JF alionya baada ya lile shambulizi la Pager kwamba ni wakati muafaka haya makundi kusitisha vita na kurudi nyuma. Inaonekana wazi Israel ameishika hii vita, anawajua wapinzani wake nje ndani. Ni hatari sana kupigana na mtu wa hivi.

Ngoja niutafute ule uzi.
100 others
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mjisomee wenyewe hapo chini:



October 18, 2024

IDF says Hezbollah commander in Taybeh area of southern Lebanon killed in airstrike


Today, 8:12 am
2

The military says that it killed the commander of Hezbollah’s Taybeh compound Mohammad Hussein Ramal in an airstrike in southern Lebanon.

The IDF says Ramal was responsible for planning and carrying out terror activities against Israel and was killed in the airstrike directed by troops of the 98th Division.

At the same time, troops of the 7th Armored Brigade located and destroyed several rocket launchers primed for launch toward northern Israel, the military says.

It adds that troops of the 36th and 91st divisions have uncovered weapons belonging to Hezbollah during operations against the terror group in southern Lebanon, including sniper rifles, anti-tank missile launchers, and Burkan-type missiles, which it says were “ready for use” and aimed at Israel’s territory.

The military statement adds that the Israeli Air Force also acted against a terrorist cell in southern Lebanon that was preparing to fire an anti-tank missile at troops operating on the ground.
Ritz na Sir John Roberts naona Adiosamigo anapita huu uzi kama anaaga maiti. Hawatoi maoni yoyote.
 
Back
Top Bottom