Kamanda wa Hezbollah huko Lebanon ya kusini, Mohamed Hussein Ramal auawa kwa shambulizi la ndege za Jeshi la Israel

HUYU KAMA N HIVI TULICHOSOMA ANA KULA BIKIRA 74 X 4 AJATUSUMBUA
 
Hii week end ni tamuuu...yaani ngoje niaupange mchepuko wangu japo nae ni mke wa mtu. Aaaaaiiiseeee huku Simba na Yangu huku huku Hezbollah huku Hamas.
Muda wa mpira mnachomoa na kuchomeka mpira ukisha kila mtu kivyakeee vyake
 
Hizbollah waliwahiwa kabla hawajatekeleza mpango wao. Wamefyekwa wengi Sana.
Waziri Mkuu wa Lebanon amesema Ayatolah asiingilie mambo ya ndani ya Lebanon 🇱🇧 hiyo ni kauli muhimu sana.

Inaonyesha kuwa Walebanon wanaanza kuamka na kukataa Nchi yao kutumika kama Proxy safi sana.
 
100 others
 
Ritz na Sir John Roberts naona Adiosamigo anapita huu uzi kama anaaga maiti. Hawatoi maoni yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…