Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Kwahio na nyie wasabato ??mmemkubali Yesu??maana tunaunganishwa na Yesu na kitimoto sasa nyie mko wapi???......msaada upi wakati anajikomba ili akifumuliwa apate backup.....mbona na yeye kapewa chuma za mrusi na mavyuma ya bwana kiduku
Ndio unaelekezwa sio kila anae muamini Yesu ni mla Nguruwe, kwahiyo acha kuhusisha ukristo na Nguruwe, wapo wakristo wengi hawatumii Nguruwe kwa maana kwao ni HARAMU kabisaaa, URUSI anaomba msaada kwa Iran unafikiri Ukraine ni nchi ya mchezo mchezo, Iran yupo kuwasaidia msisite kuomba Drone
 
Hali mbaya unaona uchumi wa urusi ulivyopaa kulinganisha na hao wa ulaya wenzie kabla ya vita ?? Mwenye hali mbaya anajulikana maana hadi Netanyahu analipua hadi vipete vya majini,,,,,yani hapo endeleeni kuomba dua za wala kitimoto kikinuka wawape backup lasivyo mtarudi kurusha majini na ngamia
Uchumi umepaa kwenda wapi pesa yote wanakula wanajeshi, wale wakazi wa Kursk nao wamekuwa wakimbizi kwenye nchi yao, Putin ameshazeeka kwasasa Zelensky anamshika sharubu kama Paka
 
UN ni ya mataifa yote, ila Urusi kaja kuomba msaada Iran kwa sababu hali yake ni mbaya, mbona unachanganya mambo, wewe tulia Iran aendelee kukusaidia maana hujiwezi kwasasa
Msaada upi,,,ukiwa na upwiru ukitunukiwa ni msaada au unamaliza haja zako unasepa,,,,nyie kobazi mmarekani kawatumia na bado mla kitimoto mwengine mrusi anakuja hapohapo magetoni kwenu anawatumia mwisho wa siku mnakua tu chama la wana kutimiza matakwa yao,,,,,hata hizo vita zenu huko si mnatibuliwaga na wala kitimoto wa yuesiei,,,,,hata yale makombora safari ile si jordan nae aliwasaidia wala kitimoto,,,,,,nyie mtaendelea kutumika na makafiri hadi akili ziwakae sawa
 
Ndio unaelekezwa sio kila anae muamini Yesu ni mla Nguruwe, kwahiyo acha kuhusisha ukristo na Nguruwe, wapo wakristo wengi hawatumii Nguruwe kwa maana kwao ni HARAMU kabisaaa, URUSI anaomba msaada kwa Iran unafikiri Ukraine ni nchi ya mchezo mchezo, Iran yupo kuwasaidia msisite kuomba Drone
Iran yupo kusaidia ama kutumika kama walivyotumika kobazi wengine kwa ajili ya maslahi ya mla nguruwe wa magharibi.....acha watu wapige mande habibiii
 
Uchumi umepaa kwenda wapi pesa yote wanakula wanajeshi, wale wakazi wa Kursk nao wamekuwa wakimbizi kwenye nchi yao, Putin ameshazeeka kwasasa Zelensky anamshika sharubu kama Paka
Mwisho wa siku nyie ni wateja wazuri wa makafiri,,,mambo yenu hayawezi kwenda hadi mbustiwe na kafiri aidha wa magharibi au mashariki
 
Msaada upi,,,ukiwa na upwiru ukitunukiwa ni msaada au unamaliza haja zako unasepa,,,,nyie kobazi mmarekani kawatumia na bado mla kitimoto mwengine mrusi anakuja hapohapo magetoni kwenu anawatumia mwisho wa siku mnakua tu chama la wana kutimiza matakwa yao,,,,,hata hizo vita zenu huko si mnatibuliwaga na wala kitimoto wa yuesiei,,,,,hata yale makombora safari ile si jordan nae aliwasaidia wala kitimoto,,,,,,nyie mtaendelea kutumika na makafiri hadi akili ziwakae sawa
Matakwa gani Urusi anateseka Ukraine kule, mwaka wa 3 huu hakuna alichofanikiwa zaidi amekuwa omba omba wa silaha kutoka Iran kwa wavaa kobazi na N Korea, na atapata tabu sana
 
Iran yupo kusaidia ama kutumika kama walivyotumika kobazi wengine kwa ajili ya maslahi ya mla nguruwe wa magharibi.....acha watu wapige mande habibiii
Ana msaidia Putin amechoka , amezeeka hali ni mbaya kiufupi wanao muweka mjini ni Iran na N Korea
 
Biashara haina ukafikiri ni kuuza na kununua
Ni kutumia na kutumika......na nyie makafiri wameshawaona ni wazuri kutumika kwa maslahi yao,,walianza kuwatumia wamarekani kwa sasa mnaenda kutumika na mrusi na mchina ili wakae pale juu
 
Ana msaidia Putin amechoka , amezeeka hali ni mbaya kiufupi wanao muweka mjini ni Iran na N Korea
Putin hawajalipua hata kapete ka majini kama anayofanya Netanyahu huko,,,,zaidi anaendelea kutest mitambo,,,,ukikaa nchale ukisimama nchale
 
Ni kutumia na kutumika......na nyie makafiri wameshawaona ni wazuri kutumika kwa maslahi yao,,walianza kuwatumia wamarekani kwa sasa mnaenda kutumika na mrusi na mchina ili wakae pale juu
Biashara haina ukafiri tulia usaidiwe wewe hujiwezi
 
Putin hawajalipua hata kapete ka majini kama anayofanya Netanyahu huko,,,,zaidi anaendelea kutest mitambo,,,,ukikaa nchale ukisimama nchale
Sasa atalipua nini pale Ukraine, watu washamjua hakuna cha kuwatisha pale, kwanza anaishi kwa misaada ya wakina Iran
 
Misaada ya Iran huku wao wanapasuliwa vipete vya majini na myahudi.....Putin toka kaanza huko Ukraine hadi sasa kamanda kasimama,,,ila hawa wala biriani la ngamia viongozi kibao washatangulizwa kuwahi mito ya pombe wakati mapambano ndo kwanza yanaanza ,,yani kwa dharau myahudi akaenda kufumua utumbo kobazi alieenda kujificha hukohuko kwa Ayatollah.......
Kweli makafiri hawaendi mbinguni kwenye mito ya pombe
6a3f6d5d61ce590f6797ebb04bf60e26a8a12308.jpg

sio kwa unyama huu
 
Misaada ya Iran huku wao wanapasuliwa vipete vya majini na myahudi.....Putin toka kaanza huko Ukraine hadi sasa kamanda kasimama,,,ila hawa wala biriani la ngamia viongozi kibao washatangulizwa kuwahi mito ya pombe wakati mapambano ndo kwanza yanaanza ,,yani kwa dharau myahudi akaenda kufumua utumbo kobazi alieenda kujificha hukohuko kwa Ayatollah.......
Kweli makafiri hawaendi mbinguni kwenye mito ya pombeView attachment 3125754
sio kwa unyama huu
Iran yuko salama kabisaa watu wanakula biriani, tayari kabisa kutuma tena msaada wa Drone na makombora kwa Putin ambaye anaangaishwa na comedian Zelensky
 
Fumuaneni msiokula kitimoto ,makafiri waje wawatawale vizuri......yani mnapapaswa kama mlivyopapaswa enzi za Otoman ,mkamsaidia muingereza kubomoa utawala wenu wenyewe,,, na yanajirudia tena,,,,,,,acha sie tufurahie muvi la kihabibi wakirudi utumwani....huyo Ukraine mnaemkenulia nae rais myahudi ,,kweli waarabu maboya
 
Asiejiweza kasaidiwa hadi platform ya kumsifu habibi ni ya kafiri hadi hako kakifaa....nani kasaidiwa sasa hapo
Tulia usaidiwe wewe , wataalamu we silaha kutoka Iran wamekuokoa kwasasa unatumia tu Drone za muiran, yaani unasaidiwa halafu unabweka bweka
 
Fumuaneni msiokula kitimoto ,makafiri waje wawatawale vizuri......yani mnapapaswa kama mlivyopapaswa enzi za Otoman ,mkamsaidia muingereza kubomoa utawala wenu wenyewe,,, na yanajirudia tena,,,,,,,acha sie tufurahie muvi la kihabibi wakirudi utumwani
Iran yuko salama kabisa kapiga Israel mara 2 hakuna kitu mtaufanya utawala wa Iran, Iran ambaye ndio mtoa misaada ya silaha kwa Urusi ambaye anatolewa kamasi na Zelensky
 
Viongozi wenu wavaa kobazi wameshaanza kuogelea kwenye mito ya pombe huku Zelensky na Putin bado wanadunda.......makafiri tunawashukuru sana kwa msaada wenu
 
Back
Top Bottom