Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Kwan Hawa Hizbullah SI walisema wanazo deadly drones nyingi tu kama Ile iliyopenya na kuua wanajeshi wanne wa Israel kwann wasirushe sasa au walibahatisha?

Israel anachapa Gaza anachapa Lebanon mtu na shoga yake wanapelekewa moto kiherehere kimewaponza kujitia wababe kumbe wepesi mithili ya unyoya.
 
Ndio si tunaona taifa la pili kwa nguvu ya kijeshi sasa linaomba silaha kwa kobazi Iran, kila kitu kiko wazi
Unatoa msaada huku rais wako anatunguliwa..........nyie mmeshazoeleka wakutumika tu ila wanaotawala makafiri
 
Unatoa msaada huku rais wako anatunguliwa..........nyie mmeshazoeleka wakutumika tu ila wanaotawala makafiri
Hakuna Rais alietunguliwa wewe ajali inaweza mpata yeyote, tulia usaidiwe hujiwezi mchekeshaji ameshakuweza wewe
 
Tuzisome halafu siri apewe Netanyahu......kavita kanapigwa kinshomile zaidi.....kafiri anashinda west anashinda east
Mnazisoma wakati mnajilinda na makombora ya Zelensky, yule Zelensky anabonda hacheki na kima yule
 
Hakuna Rais alietunguliwa wewe ajali inaweza mpata yeyote, tulia usaidiwe hujiwezi mchekeshaji ameshakuweza wewe

Ajali kazini wacha we hadi watu wanafumua pete za majini ni ajali......haya nenda na we kainame muombe allah alete ajali kwa Netanyahu
 
Ajali kazini wacha we hadi watu wanafumua pete za majini ni ajali......haya nenda na we kainame muombe allah alete ajali kwa Netanyahu
Zelensky alipiga drone mpaka Moscow , juzi watu wamechapa kambi ya kijeshi Israel pale halafu unapiga yowe, subiri superpower Iran akupe maisha
 
Zelensky alipiga drone mpaka Moscow , juzi watu wamechapa kambi ya kijeshi Israel pale halafu unapiga yowe, subiri superpower Iran akupe maisha
Anatoa maisha huku ya watu wake anashindwa kuyalinda...........kafiri acha aendelee kuwapapasa......ongeza hizo drone na makombora peleka urusi tukusome vizuri
 
Anatoa maisha huku ya watu wake anashindwa kuyalinda...........kafiri acha aendelee kuwapapasa......ongeza hizo drone na makombora peleka urusi tukusome vizuri
Zelensky ndio kiboko ya Putin, kila siku anakazi ya kutishia nyuklia kapagawa
 
watu wamebonda kambi ya jeshi hapo hapo Israel ndani itakuwa nyumba ya Haniyah , msaada wa Iran ni mkombozi kwa Urusi
Watu wameua kabisa makamanda ,,kupiga vijumba kuna ishu gani
6a3f6d5d61ce590f6797ebb04bf60e26a8a12308.jpg

Lipa hio
 
Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon.

Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22 ni raia au wapiganaji wa Hezbollah.

Kuuawa kwa kamanda wa Hezbollah kunafuatia shambulio la drone la Hezbollah kwa Israel ambalo liliua askari wanne, kujeruhi vibaya 7 na kuwapa majeraha madogo askari wengine 61 wa Israel.

Red Cross nchini Lebanon, wamesema kuwa kwa sasa nchini Lebanon hakuna eneo lililo salama.
=======================

Israel kills commander of elite anti-tank missile unit​

Israel has killed the commander of the anti-tank missile unit of Hezbollah's elite Radwan Force, its military has said.
Muhammad Kamel Naim was killed in a strike in the Nabatieh area of south Lebanon, it added.

1h ago18:57

Number killed rises to 21 in Israel's first strike on northern Lebanon​

The number of people killed in an Israeli airstrike on an apartment building in northern Lebanon has risen to 21, according to the Lebanese Red Cross.
There was no immediate comment from the Israeli military and it was not clear what the target was.

Tuombe hekima ya Mungu iwaguse watu wote ili ugaidi ukome, vita vikome, umoja na upendo vitawale, ili watu waishi kwa amani, kama Kristo alivyosema, "Amani Iwe Kwenu"
Shehe Ponda na wenzake washabiki wapo kimyaa.
 
Myahudi ana angaika na ahadi za kulipiza kisasi watu wana muangalia tu
Zelensky je si anawapa motisha hadi mna copy and paste,,,, mnajifanya mnamchukia myahudi kumbe bado ni role model wenu
 
Back
Top Bottom