Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Yule ni Raia wa Ukraine sio Israel Kwahiyo kwasasa yuko pale kumpasua babu Putin ili nchi yake ya Ukraine na raia wa Ukraine wawe salama sio Israel
Hata weye si mmatumbi wa buza ila dugu yako ni ayatollah......ni kama Zelensky tu dugu yake ni Yahudi ya Netaland na wao ni dugu moya katika mapambano
 
Ila ni myahudi na mkamuiga.......asee hamna jipya kobazi yaani hadi vita lazima yahudi awape muongozo kwanza......ndo maana mtatawaliwa milele na yahudi na makafiri wengine
Sio myahudi wa imani wala uraia, hiyo ni historia ambayo haina maana kwake ndio maana kwasasa ni raia wa Ukraine na mkristo wa Orthodoxy , anamchapa Putin vizuri tu
 
Zelensky mkristo wa Orthodox , yeye hausiki na wale waliosema Yesu ni muhaini wakamtundika kama Mzoga, kazi yake ni kumpasua Putin
Haha ila asili si yahudi dugu......tena asavali sana kumbe mnamuiga mfuasi wa Yesu halafu mnawaita makafiri kumbe mnapenda mziki wao.......makafiri oyee.......allah hana jipya anaendelea tu kucopy na kupaste ukafiri
 
Sio myahudi wa imani wala uraia, hiyo ni historia ambayo haina maana kwake ndio maana kwasasa ni raia wa Ukraine na mkristo wa Orthodoxy , anamchapa Putin vizuri tu
Ila si kafiri kwani ni toto ya allah hio??? Hii limbwata alieitengeneza ni fundi sana hadi kobazi anamkubali kafiri na kumuiga
 
Hata weye si mmatumbi wa buza ila dugu yako ni ayatollah......ni kama Zelensky tu dugu yake ni Yahudi ya Netaland na wao ni dugu moya katika mapambano
Ndio kwa maana ya Dini, hata Zelensky ni mkristo sio myahudi kwa maana ya dini, na kwasasa anamchapa mkristo mwengine Putin kama kibaka
 
Ila si kafiri kwani ni toto ya allah hio??? Hii limbwata alieitengeneza ni fundi sana hadi kobazi anamkubali kafiri na kumuiga
Mbona kafiri Urusi anasaidiwa, hakuna tatizo kumsaidia kafiri ili apumue
 
Ndio kwa maana ya Dini, hata Zelensky ni mkristo sio myahudi kwa maana ya dini, na kwasasa anamchapa mkristo mwengine Putin kama kibaka
Kwahio kafiri Zelensky ndo aliwadanganywa kwamba mkijificha kwa raia hamtashambuliwa kama alichofanya mrusi?? Shida mkamfata kafiri akawatoa kafara kwa Netanyahu na mambo yenu ya kucopy na kupaste shida za makafiri
 
Hata Urusi anaua raia kule Ukraine badala ya wanajeshi, ndio maana Zelensky anataka air defense za kutosha
 
Ila yeye hakusaidii viongozi wako mapema tu wamefumuliwa.....kweli huu ni utumwa wa kidijitali
C5008ACA-06BF-4E5D-8562-7F6CC7EF6CF5.png
 
Hata Urusi anaua raia kule Ukraine badala ya wanajeshi, ndio maana Zelensky anataka air defense za kutosha
Kwahio na nyie mkatamani michezo ya makafiri mkaiga sio??? Sasa huko kuiga mmefika wapi sasa??
6a3f6d5d61ce590f6797ebb04bf60e26a8a12308.jpg
 
Hamas waachie mateka halafu wachimbe wala wasijisalimishe ,IDF wamekula kiapo cha kulinda watu wao ,na hamas wameshikilia watu mwaka sasa unategemea nini
Bila ya wazayuni duniani patakua kama peponi
 
Back
Top Bottom