Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Hamas waachie mateka halafu wachimbe wala wasijisalimishe ,IDF wamekula kiapo cha kulinda watu wao ,na hamas wameshikilia watu mwaka sasa unategemea nini
Kwa hiyo radar kubwa mnashindwa kujua walipo? si mnasema ndio mnamiliki radar pale mashariki ya kati . 😀 😀 😀

Kwani kamanda wenu yule wa juzi yuko wapi ?
 
Waambie wamsogelee afyatue wote wale wakazike miguu sasa, Sinawar mwaka wa pili hajakamatwa Gaza, eneo lenyewe dogo
Watu hawana taarabu wanabutua wanapiga kahawa,,,,taarabu ziendelee
 
Waambie wamsogelee afyatue wote wale wakazike miguu sasa, Sinawar mwaka wa pili hajakamatwa Gaza, eneo lenyewe dogo
Hakuna shida ya kuwaonea wachumba,,,,wanawake wakiwezeshwa wanaweza
 
achana na porojo vita iliopo sasa ni kati ya Israel na vikundi vinavyo ungwa mkono na Iran ambavyo ni Hamas, Hizbollah na Houth, acha kuingiza watu wasio kuwepo
Una kideri wewe?
.1. Iran
2. Urusi.
3.china
4. Korea kaskazini.
5. Lebanon.
Na Vinyamkera vyote ulivyoona viliishtaki Israel pale ICJ pamoja na wengineo wengi , zaidi ya nusu ya dunia na hasa wale waumini wa ile dini iliyoshushwa wanaipiga israel , wameshindwa na sasa wana-waishwa kuwahi ma bikra 72[kama wapo]
 
sasa kushtaki ina husika vip na mambo ya uwanja wa vita? Vita kwasasa ni Israel na washirika wa Iran ambao ni Hamas, Hizbollah na Houth, huo uongo wako kadanganye kwenye hilo kanisa lako sio humu
 
Watu hawana taarabu wanabutua wanapiga kahawa,,,,taarabu ziendelee
Iran kashapiga tayari lipa kisasi acha kelele, badala ya kulipa kisasi unaomba US wafunge mtambo wa kuzuia makombora ya Iran
 
Tafuta Sinawar acha kelele mwaka wa pili Gaza imekushinda, hakuna lengo umefikia la mateka wala la kijeshi
Tukatafute skrepa.......kweli lengo sijafikia acha tuendelee kusaka sehemu zaidi za kuokota ma skrepa.......makafiri oyee
images-119.jpeg
 
sasa kushtaki ina husika vip na mambo ya uwanja wa vita? Vita kwasasa ni Israel na washirika wa Iran ambao ni Hamas, Hizbollah na Houth, huo uongo wako kadanganye kwenye hilo kanisa lako sio humu
upo nyuma sana kama wanafunzi shule vipaji maalum, silaha zinazotekwa na Israel kwenye maghala ya Hizbulla huko south Lebanon, kwenye bunks za Magaidi ya kiislamu ya Hams zimetengenezwa Korea, Urusi, china na Iran.
Wanalipwa mishahara na Iran, sasa sijui unataka upewe ushahidi gani ?

Au wewe ndio wale mnatangaza idadi ya watoto na wanawake wanaouawa badala ya kutangaza idadi ya migaidi ya kislamu inayodunguliwa kila uchao?
Its as if huko Palestina kuna watoto na wanawake wasio na baba, maana sijawahi kuskia baba kauliwa, magaidi yanaweka silaha nyumba za ibada, shule na kwenye makazi, unategemea yaachwe?
 
Back
Top Bottom