Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

upo nyuma sana kama wanafunzi shule vipaji maalum, silaha zinazotekwa na Israel kwenye maghala ya Hizbulla huko south Lebanon, kwenye bunks za Magaidi ya kiislamu ya Hams zimetengenezwa Korea, Urusi, china na Iran.
Wanalipwa mishahara na Iran, sasa sijui unataka upewe ushahidi gani ?

Au wewe ndio wale mnatangaza idadi ya watoto na wanawake wanaouawa badala ya kutangaza idadi ya migaidi ya kislamu inayodunguliwa kila uchao?
Its as if huko Palestina kuna watoto na wanawake wasio na baba, maana sijawahi kuskia baba kauliwa, magaidi yanaweka silaha nyumba za ibada, shule na kwenye makazi, unategemea yaachwe?
Wewe unaandika takataka kabisaa hakuna vita Israel anapigana zaidi ya vikundi vya Iran, sasa vikundi vinamtoa kamasi vile anaweza kupigana na nchi yenye misuli kama Iran?
 
Kaa na mateka sie tunakaa na roho za wenu kuzimu
Mateka wako hai , Sinawar ndio mtoa roho wao kwasasa akitaka wanakufa au wanabaki hai, maandamano yana endelea Tel Aviv mateka waachiwe
 
Kama walivyobutuliwa wale wanajeshi waliokuwa wakipata chakula pale kambini
Watu wamesepa na Hani wao......

Unapiga kelele umepata sisimizi yakheee.......watu wamevua jipapaa limenonaaa
ebea42b1c8695cf99af987551e2d6050.jpeg
 
Mateka wako hai , Sinawar ndio mtoa roho wao kwasasa akitaka wanakufa au wanabaki hai, maandamano yana endelea Tel Aviv mateka waachiwe
Mateka wapo hai ila watu wako wapo kuzimu......we kaa na hao mateka unadhani ndo mapambano yatasimama kisa una mateka........we kaa nao tu kwetu makafiri kutoa kafara ni jambo jepesi tu
 
Mateka wapo hai ila watu wako wapo kuzimu......we kaa na hao mateka unadhani ndo mapambano yatasimama kisa una mateka........we kaa nao tu kwetu makafiri kutoa kafara ni jambo jepesi tu
Wako hai wakati mtoa roho ni Sinawar, nenda Tel Aviv hawamtaki Netanyahu wanasema kaua Mateka
 
Kitu kidogo tu mwanajeshi haogopi kufa hadi aanze kuvaa nguo za wamama
Sasa unataka afe kiboya wakati kuna mateka wa kuwashika ili kule Tel Aviv maandamano yasiishe, njoo ukomboe mateka acha kulia lia
 
Weka idadi ya maiti za myahudi na kobazi
Kuna mateka wakutosha zaidi ya 20 roho zao ziko chini ya Sinawar, yeye ndio kashika button anaamua nani aishi au nani afe, wewe unafikiri kwanini maandamano hayaishi Tel Avivi!!!!
 
Sasa unataka afe kiboya wakati kuna mateka wa kuwashika ili kule Tel Aviv maandamano yasiishe, njoo ukomboe mateka acha kulia lia
Hehe......tunawapendaga saaana ........nyie makafiri watawatawala milele walahi
Screenshot_20241016-171515_Chrome.jpg
 
Kuna mateka wakutosha zaidi ya 20 roho zao ziko chini ya Sinawar, yeye ndio kashika button anaamua nani aishi au nani afe, wewe unafikiri kwanini maandamano hayaishi Tel Avivi!!!!
Kumbe 20 halafu unajisifu nikajua hata 5000 hivi
Screenshot_20241016-171515_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom