Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Wewe andaa koo ukaimbe huko, wivu wa nini tunakwenda kula rahaaa hapa duniani ni mfano tu
Kabisa maana starehe zote za kimwili nazitandika hapa ila kuna boya linawaza roho itaenda kuogelea.........hii akili hata mtoto wa chekechea hana
 
Iran anagawa misaada sasa kacopy nini? labda kumsaidia Urusi apumue hata kwa pua moja
Amsaidie anaevaa nguo za wanawake au nae kaiga mavazi ya Zelensky kabla ya urais??? Kafiri role model
images (17).jpeg
 
Kabisa maana starehe zote za kimwili nazitandika hapa ila kuna boya linawaza roho itaenda kuogelea.........hii akili hata mtoto wa chekechea hana
Ni kichaa pekee atashangaa kwenda kula rahaa mbinguni, yaani dunian uangaike kuabudu halafu ukaimbe imbe mbinguni hizo si akili mbovu, hata Adam na Hawa walitakiwa kula rahaaa bila kufa sio kuimba imba
 
Wacha we ndo mudi aliwaambia hivyo
 
Russia anaomba msaada baada ya huyo huyo kumkazia, nguo hazipigani vita , ukitaka kujua muulize Putin anaomba omba sasa hivi silaha
Ila mrusi na hata Ukraine viongozi wao wakuu wamekaa mda mrefu vitani kuliko viongozi wa kobazi mnaotoa msaada inakuaje hapo bwana kobazi
 
Mvamizi kavamiwa yeye kule Kursk, mwaka huu mtaomba msaada hadi kwa Museven Warusi nyie
 
Wivu tu kwani mliambiwa mchague kuimba imba huko mbinguni sio akili zenu wenyewe, tuileni watu tukale maisha ya Adam wa bustanini
Sawa basi na nyie acheni kudoea kitimoto chetu,,,mbona muda wa mfungo wenu kitimoto inashuka bei na tunapimiwa nyingi.....ila mkifungua tu shida zinaanza inakuaje hapo bwana kobazi....kwahio mnashindwa kujiuzuia kula mdudu hadi muende mbinguni mnaanza mapema huku...na tibielo wanawapenda sana
 
Sisi kitimoto ni haramu acha kutuhusisha na mambo yako hayo, hata wasabato watakushangaa
 
Wanaandamana wanataka ndugu zao waachiwe na Sinawar, halafu Sinawar katulia Gaza
Na picha lako hapo la kuu la makafiri yani unaona hadi aibu kuweka picha ya mvaa magauni mwenzenu kobazi,,,,ila ukashobokea kapicha ka kafiri wa urusi
 
Yupo askari wake wanafyekwa tu huko
Hii ni chess kobazi sio drafti wala karata kete zinazolindwa ni mfalme na malkia shida huko mapema tu watu washalamba hadi kingi hadi kamchezo kanaanza kuboa kanaelemea upande m1
 
Na picha lako hapo la kuu la makafiri yani unaona hadi aibu kuweka picha ya mvaa magauni mwenzenu kobazi,,,,ila ukashobokea kapicha ka kafiri wa urusi
Picha inakutesa ? Tuna msaidia huyo anateseka na Ukraine
 
Back
Top Bottom