Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Kabisa maana starehe zote za kimwili nazitandika hapa ila kuna boya linawaza roho itaenda kuogelea.........hii akili hata mtoto wa chekechea hanaWewe andaa koo ukaimbe huko, wivu wa nini tunakwenda kula rahaaa hapa duniani ni mfano tu