Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Ulitaka akuletee magita ili ukaimbe imbe huko kwa Mungu wako mbinguni?
mdogo wangu mbona kama hujaelewa, nimekazia tu kwamba tuliletewa kobasi na suruali fupi wakati ki asili tulikuwa tunavaa surruali ndefu.
Kwani nimesema kuvaa kobasi na suruali fupi na kuongea kama waliotuleetea ni vibaya?
 
Kiasili tulikuwa tunavaa ngozi sio suruali wala kanzu, wewe umesoma historia ya watu gani?
 
Ngozi zimepigwa marufuku maana wanyama wanaisha, sasa hivi hata kufuga kobe ni mpaka kibali.
Ngozi za chui huku kwetu mbeya machifu walikuwa wanavaa, sasa hivi ni kosa la uhujumu uchumi.

Sasa baada ya wakoloni kupiga marufuku kwa Sheria, Makobasi na suruali fupi wameshikiwa ubongo na hao waliowaletea badala wahangaike na sayansi na teknolojia wao kila uchao wanalia lia kama watoto yatima.
 
Wachache sana hao , wewe Selemani kaishi miaka michache duniani hapa alikuwa na wanawake 700, sasa itakuwa maisha ya milele na hao 72 , hata wakiongezwa hamna shida
Mnapewa na nguvu za vumbi la kongo, yani ni ngono milele!
 
Ngozi zimepigwa marufuku maana wanyama wanaisha, sasa hivi hata kufuga kobe ni mpaka kibali.
Ngozi za chui huku kwetu mbeya machifu walikuwa wanavaa, sasa hivi ni kosa la uhujumu uchumi.

Sasa baada ya wakoloni kupiga marufuku kwa Sheria, Makobasi na suruali fupi wameshikiwa ubongo na hao waliowaletea badala wahangaike na sayansi na teknolojia wao kila uchao wanalia lia kama watoto yatima.
Ukisema wakoloni maana yake hao sio wenye asili yetu, sisi asili yetu ni kuvaa ngozi za wanyama, suruali ya aina yeyote ni jambo la kuiga tu kama ambavyo mnaiga mengine, historia imekupita kushoto ni masikitiko
 
Unakuwa na kichwa kigumu kama hao jama tunao wazungumzia.
Serikali imepiga marufuku kuvaa hizo mbanga, hata wamasai kule zanzibar wamepigwa marufuku kubeba sime na marungu hadharani, elewa !
 
Mwili wa peponi hauna maradhi wala magonjwa ni kuponda rahaaaa tu, acha wivu , andaa koo kamuaimbie Mungu wako ndio pepo yako hiyo
images-138.jpeg
ato-cross-tryzub-ukraine-army-emblem-flag-president-zelensky-s-back-t-shirt-20230501112814-0fa...jpg
 
Ukisema wakoloni maana yake hao sio wenye asili yetu, sisi asili yetu ni kuvaa ngozi za wanyama, suruali ya aina yeyote ni jambo la kuiga tu kama ambavyo mnaiga mengine, historia imekupita kushoto ni masikitiko
Ni kama kuiga kobazi na abaya
 
Unakuwa na kichwa kigumu kama hao jama tunao wazungumzia.
Serikali imepiga marufuku kuvaa hizo mbanga, hata wamasai kule zanzibar wamepigwa marufuku kubeba sime na marungu hadharani, elewa !
Unajua maana ya asili? siku nyingine usitumie neno asili kama hujui maana yake, sisi asili yetu ni kuvaa ngozi hatuna uhusiano na suruali wala kanzu
 
basi mkuu endelea na kobasi zako na suruali fupi, kupanga ni kuchagua.
 
Back
Top Bottom